Huu sasa ni uganga wa mitishamba......yaani ramli au bao!
Picha inakuja mkuu ,najaribu kuiwekaWeka picha otherwise toa uchawi wako humu..!!
Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,
kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.
Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Image is loading...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona na wewe uko tofauti na nilivyokuona?Mkuu umekonda sana nini tatizo?Nimemuangalia leo kwa ukaribu na nina muda mwingi sijamuona,
kikawaida Membe ni mchangamfu,mtu wa tabasamu na mara nyingi ni mtu mwenye bashasha wakati wote.
Leo wakati anatoka mahakamani dhidi ya shauri lake na Musiba na wenzake,namuona ni Membe mwingine kabisa,kapungua ,uso wake unaonyesha ndani ya moyo wake kuna kitu kinaumiza nafsi yake,ni kitu gani hicho?,kuukosa urais ?,ndoto zinakosa matumaini?,si ajikubali tu?,mbona Lowassa kakubali matokeo?,
kila jambo hupangwa na mungu kwa makusudi yake,akubali kua hakupangiwa na mungu kua rais japo mbeleko ya kikwete ingeweza kumbeba kitemi.
Image is loading...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaccm wote wamezoea maisha ya mteremko, wakiyakosa maisha hayo unajichukulia tu hata mkewe unapiga mpaka unachoka. Yale maImprest aliyokuwa anayasaini yamekatika. Ndio maana wako tayari hata damu imwagike kuliko wapoteze madaraka. Angalia wote wakiwa madarakani wana vitambi, kisha wakitoka suruali zote wanaenda kupunguza kwa fundi au wakivaa baada ya kufunga mkanda zinaweka celebration.
Mfuate leo Membe akuonyeshea zile fursa alizokuwa anawaambia watu kuna fursa kibao, atakujibu kwa upole mambo ni magumu! Ile miradi aliyofungua na kuwakabidhi mashemeji yote inasuasua na mingine imekufa. Yote hayo ni kuzoea maisha ya mteremko kisha wakitoka madarakani unakuta muda wote midomo imewakauka kama wamepakaa mafuta taa.
Mkuu mbona na wewe uko tofauti na nilivyokuona?Mkuu umekonda sana nini tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikaweka wazi pengine sababu mnaijua ,kama hujui potezeaKumuona umemuona wewe Mkuu then unataka sisi ndio tushauri
Uchonganishi upi?,namchonganisha na nani?,mada yako imekosa radha kama mboga iliyotiwa chumvi nyingi. unless ulipataa wasaha wa kumuuliza na kujua nini kinamsibu mpaka kuwa hivyo alivyo otherwise bora ukae kimya na kuacha uchonganisha
Sasa Mkuu mbona wewe huijui na hujapotezea?Ndio maana nikaweka wazi pengine sababu mnaijua ,kama hujui potezea
Sent using Jamii Forums mobile app