Kwan hii huwa inamaanisha nin
Weka mada bayana tafadhali.
We haujui maana ya ban?
Sijui huwa nasikia tu nieleweshe ndugu
Kafungiwa..
Hata paroko ana dhambi pia...usiogope.
ayaaaaaa kwa kosa gan
Khaaaa......Napitaaa tu
Unakwenda wapi? hakuna njia huku utalabwa ban....
Mie Sina Kauli Mbovu,So bana kwangu sio rahisi