maiyanga1 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,376 Reaction score 1,895 Aug 31, 2019 #1 Naona mambo ya AFCON yanajirudia. Kipindi kile walitangaza kuonyesha mechi zote wakaishia kuonyesha mechi chache. Toka juzi wanatangaza kwamba wataonyesha mechi za Ligi ya waliotutawala. Cha kushangaza mechi ilipoanza tu wameifunga. Kulikoni?
Naona mambo ya AFCON yanajirudia. Kipindi kile walitangaza kuonyesha mechi zote wakaishia kuonyesha mechi chache. Toka juzi wanatangaza kwamba wataonyesha mechi za Ligi ya waliotutawala. Cha kushangaza mechi ilipoanza tu wameifunga. Kulikoni?
Savior ruther Member Joined Oct 15, 2017 Posts 14 Reaction score 12 Aug 31, 2019 #2 Me nkajua kwangu tu, au ndo wanatutega tulipie package ya kuangalia channel zote..!!!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,163 Reaction score 184,895 Aug 31, 2019 #3 Poleni sana... Cc: mahondaw