Sina mashaka kama umewahi kuthibitisha kama zipo ndoa ambazo ukipata habari zake huwezi kuamini amboyo nimeshiriki kuipatanisha na imesimama kuliko kabla ni ya rafiki yangu kipenzi ambayo mume alimfumania mkewe tena akitumika kinyume na maumbile na mwisho wa siku mwanaume ndo alikua anaomba msamahaa kwa kufanya maamuzi ya haraka nahasira hii ni kweli imetokea na kwataarifa yako ilfanyika jitihada za ziada kuhakikisha mwanamke anarudi nyumbani, mifano mingine ni hizi utasikia amepewa LIMBWATA unadhan ni ya kufikirika?????:bange:
Ni mawazo tu. Hakuna uhalisia ndani ya haya ingawa yanaweza kutokea au yanatokea lakini hayaripotiwi kama mtoa mada anavyoonyesha. Huenda mawazo yangu. Nikiona neno jamaa huwa najua hapa hakuna mtu halisi bali mtu wa kutengenezwa.