kuliko kikaoza bora nimpe jirani!!!!!!!!!

KILITIME

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
265
18
:evil:'kuliko kikaoza bora nimpe jirani' jamaa ametoka safari ya kikazi miezi mitatu akakuta mkewe kavaa khanga imeandikwa maneno hayo!!! na yeye kesho yake akamletea khanga imeandikwa 'wako akiwa ndani akitoka nje si wako' kama ni wewe ungefanyaje????:evil:
 
"safarini nilipoza njaa sasa nimerudi nitashiba"Inamaana ungeenda kuongeza khanga nyingineee au unamaanisha nini Nicolson??
 
Ni mawazo tu. Hakuna uhalisia ndani ya haya ingawa yanaweza kutokea au yanatokea lakini hayaripotiwi kama mtoa mada anavyoonyesha. Huenda mawazo yangu. Nikiona neno jamaa huwa najua hapa hakuna mtu halisi bali mtu wa kutengenezwa.
 
full kugegedana ...napenda watu ambao wapo realistic....wewe ukamwache mwenzio miezi mitatu alfu utegemee uikuye haijaguswa
 
Sina mashaka kama umewahi kuthibitisha kama zipo ndoa ambazo ukipata habari zake huwezi kuamini amboyo nimeshiriki kuipatanisha na imesimama kuliko kabla ni ya rafiki yangu kipenzi ambayo mume alimfumania mkewe tena akitumika kinyume na maumbile na mwisho wa siku mwanaume ndo alikua anaomba msamahaa kwa kufanya maamuzi ya haraka nahasira hii ni kweli imetokea na kwataarifa yako ilfanyika jitihada za ziada kuhakikisha mwanamke anarudi nyumbani, mifano mingine ni hizi utasikia amepewa LIMBWATA unadhan ni ya kufikirika?????:bange:

Ni mawazo tu. Hakuna uhalisia ndani ya haya ingawa yanaweza kutokea au yanatokea lakini hayaripotiwi kama mtoa mada anavyoonyesha. Huenda mawazo yangu. Nikiona neno jamaa huwa najua hapa hakuna mtu halisi bali mtu wa kutengenezwa.
 
hell no

bora nikajiwowa
Kongosho! ajabu na kweli mwanamke alianzisha varangati la kufa mtu kwamba yeye khanga yake haikumuhusu mumewe bali jirani toka lini mwanamme akasoma khanga za kina mama???:target:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom