Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,625
- 65,100
Muda haurudi nyuma, kila hatua ina umuhimu katika maishaAu sio
YeahMuda haurudi nyuma, kila hatua ina umuhimu katika maisha
And Those was the old golden good Days...those was the days...!Mapenzi ya kichuo chuo yalikuwa yana raha sana; siku kama ya leo muda kama huu, unakuwa umepigilia pamba huku ukinukia vizuri, na kumchukua baby wako, labda mko mwaka mmoja au mmepishana, mnaingia kiwanja tulivu, huku yeye akiwa amejipodoa; mnapiga mvinyo huku kukiwa na mziki wa utulivu pembeni, huku kaupepo kaubaridi kanavuma kulia kwenda kushoto.
Dah, kweli maisha ya chuo yalikuwa matamu sana; ingawa mwisho wa siku hakukuwa na ndoa.
Sasa hivi nimejizeekea tu hapa; kweli kila kitu na wakati wake; tunasema 'those days'
Kuleni maisha, wakati ni sasa.
Vipi baada ya chuo ulifanikisha ajira ya maana au ndo umekuwa boda boda?Mapenzi ya kichuo chuo yalikuwa yana raha sana; siku kama ya leo muda kama huu, unakuwa umepigilia pamba huku ukinukia vizuri, na kumchukua baby wako, labda mko mwaka mmoja au mmepishana, mnaingia kiwanja tulivu, huku yeye akiwa amejipodoa;
mnapiga mvinyo huku kukiwa na mziki wa utulivu pembeni, huku kaupepo kaubaridi kanavuma kulia kwenda kushoto.
Dah, kweli maisha ya chuo yalikuwa matamu sana; ingawa mwisho wa siku hakukuwa na ndoa.
Sasa hivi nimejizeekea tu hapa; kweli kila kitu na wakati wake; tunasema 'those days'
Kuleni maisha, wakati ni sasa.
Swali la msingi mnoVipi baada ya chuo ulifanikisha ajira ya maana au ndo umekuwa boda boda?
Boom unapewa lote, hakuna kupunjana; ukichaguliwa kwenda chuo, kweli full shangwe.And Those was the old golden good Days...those was the days...!
Mambo hayako sawa kabisa, inabidi nijiajiri kwenye uchawa tu.Vipi baada ya chuo ulifanikisha ajira ya maana au ndo umekuwa boda boda?
OkMapenzi ya kichuo chuo yalikuwa yana raha sana; siku kama ya leo muda kama huu, unakuwa umepigilia pamba huku ukinukia vizuri, na kumchukua baby wako, labda mko mwaka mmoja au mmepishana, mnaingia kiwanja tulivu, huku yeye akiwa amejipodoa; mnapiga mvinyo huku kukiwa na mziki wa utulivu pembeni, huku kaupepo kaubaridi kanavuma kulia kwenda kushoto.
Dah, kweli maisha ya chuo yalikuwa matamu sana; ingawa mwisho wa siku hakukuwa na ndoa.
Sasa hivi nimejizeekea tu hapa; kweli kila kitu na wakati wake; tunasema 'those days'
Kuleni maisha, wakati ni sasa.
Vp wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
Sina maisha ya kuyakulaVp wewe
Mambo yamebdilika sana; lakini hata hicho kidogo inabidi utumie hivyo hivyo; miaka huwezi kuirudisha nyuma.Maisha yenyewe ya kula yako wapi mkuu?
Sawa MkuuMambo yamebdilika sana; lakini hata hicho kidogo inabidi utumie hivyo hivyo; miaka huwezi kuirudisha nyuma.
OkSina maisha ya kuyakula
Mnatumia bum, likiisha anaenda kwa sponsorMapenzi ya kichuo chuo yalikuwa yana raha sana; siku kama ya leo muda kama huu, unakuwa umepigilia pamba huku ukinukia vizuri, na kumchukua baby wako, labda mko mwaka mmoja au mmepishana, mnaingia kiwanja tulivu, huku yeye akiwa amejipodoa; mnapiga mvinyo huku kukiwa na mziki wa utulivu pembeni, huku kaupepo kaubaridi kanavuma kulia kwenda kushoto.
Dah, kweli maisha ya chuo yalikuwa matamu sana; ingawa mwisho wa siku hakukuwa na ndoa.
Sasa hivi nimejizeekea tu hapa; kweli kila kitu na wakati wake; tunasema 'those days'
Kuleni maisha, wakati ni sasa
Na vile vipedo vyao, ilikuwa hatari sana;huu wimbo nao ulitamba sanaMnatumia bum, likiisha anaenda kwa sponsor