Simba na Yanga hakuna utalii wanao utangaza hizi swagwa ni za kutudanganya.
Utalii unatangazwa kule Budapest Romania, sasa tunashindwa kuwekeza kwenye michezo tumewekeza sana kwenye Siasa michezo badala ya michezo yenyewe.
Budapest kule kuna nchi zinatangaza hasa utalii, saaa sisi sijui kama tuko kule, basi tungepeleka Yanga na Simba kule watusaidie kujitangaza.