Ingawa imetolewa kwa nia nzuri kuhamasisha wadau kununua tiketi mapema kauli hii ya Wambura cum TFF ni kama inashadadia RUSHWA nchini maana implication yake ni kama inabariki walanguzi na kulaani wasionunua tiketi "mapema"
maswali mengi yanabaki juu ya ununuzi wa tiketi "mapema"
Ikiwa sufficient and reasonable notice imetolewa
ikiwa tiketi hizo zinapatikana kwa urahisi (availability and accessibility)
na ikiwa umma umeelimishwa pasi na shaka (% coverage ya mass awareness)