Kulangua Diapers na Taulo za kike

Kulangua Diapers na Taulo za kike

Whitney Houston

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
237
Reaction score
444
Wanajamvi kwema!?
Ni viwanda au machimbo gani mtu anaweza kulangua jumla kwa bei ya kiwanda/chimbo na kwenda kuuza jumla na rejareja mkoani -diapers za watoto na watu wazima(makampuni yote),taulo za kike(pads) za kawaida(one-time use na reusable), na za pads kujifungulia(maternity pads)

diapers mfano -softcare,baby bumpies,baby cheeky,kiss kids n.k

pads mfano-HC,HQ,freestyle,always,softcare n.k

Natanguliza shukrani
 
Nenda kariakoo Kuna wauzaji wa jumla ndanidani huko wamejaza stock za kutosha.ila mpaka upajue unahitaji mtu.
Narudia Tena kariakoo,maana mtaji wako ni WA kulangua sio kununua mzigo wa maana jumla ungeweza kwenda kiwandani kabisa.
Kila la heri
 
hahaha,sawa,kumbe kuna kulangua halafu kuna kununua mzigo.sasa hapo kariakoo ndanindani sijui patakua mtaa gani,unisaidie jina la mtaa itakua vizuri
 
Back
Top Bottom