ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,138
- 2,827
Mie sina uzoefu mana huwa nalala na track suit.
Hujaolewa ndiyo mana ukiolewa utajuwa tuu umuhimu wa kulala bila pichu
Ooooh watu huwa wanaolewa mara ngapi?
Haha. Mimi nilikuwa very inquisitive. Nikiona watu wanafichaficha mambo hasa kwenye jamii hii yenye mtazamo hasi juu ya Uchi (nakedness) na sex ndo inanitia ari ya kujua na kufanya. Vitu vingine mnaviOver rate tu. Msiwe mnaambia watoto maneno kama hayo.N.B
kama wew ni mwanafunzi soma kwanza umalizw shule haya mambo tuachieni sisi tuendelee kufaidi tuu
Madhara ni makubwa mno hayafai hata kuyaongea hapa
Madhara ni makubwa mno hayafai hata kuyaongea hapa
Mie sina uzoefu mana huwa nalala na track suit.
Ticha sijakusoma..unavaa unavua??
Tena bora utembee bila chupi mchana........lakini wakati wa kulala uvae........
usiku huvai chupi......?.......mtu utakuwa unajipenda kweli.......?......oooh.....god forbid........