Kula Yanga Kulala Simba

Kula Yanga Kulala Simba

pia..simba ndo inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani ,hata msimu uliopita pita..amavubi ongezea nyingine..
 
sasa jiulizeni kwa nini mashabiki wa simba walifurahi sana kupata sare, wakati mashabiki wa yanga ni kama wamefumgwa vilee!
sababu zipo nyingi moja umeitaja tayari
 
pia..simba ndo inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani ,hata msimu uliopita pita..amavubi ongezea nyingine..
ni kweli kabisa kwa sababu hata mechi za yanga mashabiki wa simba wanakuja kwa wingi ilihali mecho za simba wa yanga wananyuti
 
Back
Top Bottom