Chakula kilikuwa kitamu ila hakizidi mpishi!
Lips zetu zipo wap??๐Wachaaaaa
Nimemuachia babe wangu azikuleLips zetu zipo wap??๐
Daah umepelekea chako chake๐Nimemuachia babe wangu azikule
๐๐๐๐babu akienda job nistue nije jando๐Aahahahahahahhahaaaa loooh ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Punguza unoko ๐Daah umepelekea chako chake๐
Hapo sawa maana nikasema mbona ugali umesambaaUbwabwa ๐๐๐๐
Ikiwa kwa mkeo au mchepuko!! Ukiona kamsosi kadogo kazuri kana mapambo meengi!! kama haka mwanaume stuka , nakwambia tena stuka!! sijakosea!! ile kusema tu haaa!!Ndo kwaanzaaaa tarehe moja....
Mwezi bado mchangaaaa...!
Ndo kwaanzaaaa jumatatu, wiki imeanza hiviii.....
View attachment 1714950
Laaambwaaa laaambwaaaa
Lambwatikaaaaa....
Maharage yako jikoni nimeshayapika....
Nangojea sukari ya bwana, haijafikaaa.
Songea taratibu babaa, utakuta kila kitu tayari.
Kwa Hisani ya Mahadhi ya Pwani ๐
Kasinde Matata ๐.
Ikiwa kwa mkeo au mchepuko!! Ukiona kamsosi kadogo kazuri kana mapambo meengi!! kama haka mwanaume stuka , nakwambia tena stuka!! sijakosea!! ile kusema tu haaa!!
''Mmmm! mbona msosi umepambwa vizuri hivi?? ndo mambo ya limbwata nini???'' km amefanya kitu humo chakulani!! heee!!! hilo limbwata limevia halifanyi kazi tena!! tena huyo mwanamke atakuchukia milele!! si kawaida. jaribuni!!!!
nitawafundisha jinsi ya kuzindika jiko.