jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,226 Reaction score 2,902 Nov 26, 2016 #1 Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe? Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii forum ambao najua mnajua mengi.
Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe? Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii forum ambao najua mnajua mengi.
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,955 Nov 26, 2016 #2 Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia..... Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah..
Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia..... Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah..
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,516 Reaction score 13,270 Nov 26, 2016 #3 scorpio me said: Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia..... Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah.. Click to expand... Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga?
scorpio me said: Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia..... Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah.. Click to expand... Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga?
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,226 Reaction score 2,902 Nov 26, 2016 Thread starter #4 PROF NDUMILAKUWILI said: Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga Click to expand... Hapo napo ni swali lingine
PROF NDUMILAKUWILI said: Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga Click to expand... Hapo napo ni swali lingine
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,226 Reaction score 2,902 Nov 26, 2016 Thread starter #5 scorpio me said: Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia..... Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah.. Click to expand... Hivi tatizo ni nn hamu au????
scorpio me said: Si lazima...me nakula udongo vibaya mno,tena umentamanisha hapa umeniishia..... Hata school tulikua tunabandua ule wa kune mti wenye mchwa....asee mate yamenijaa dah.. Click to expand... Hivi tatizo ni nn hamu au????
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,955 Nov 26, 2016 #6 PROF NDUMILAKUWILI said: Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga? Click to expand... Unao ila wenye vimchanga vingi sio mtamu sana.... Kuna ule hauna vimchanga mlainiiii una vumbi vumbi tu dah... Ila huo ni wa kune mti... Kuna ile pemba ya dukani sa dah asee...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
PROF NDUMILAKUWILI said: Duh!sasa huo udogo huwa hauna vimichanga? Click to expand... Unao ila wenye vimchanga vingi sio mtamu sana.... Kuna ule hauna vimchanga mlainiiii una vumbi vumbi tu dah... Ila huo ni wa kune mti... Kuna ile pemba ya dukani sa dah asee...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,955 Nov 26, 2016 #7 jerrysonkiria said: Hivi tatizo ni nn hamu au???? Click to expand... Hamu tu mkuu...ila wanasema eti ni ukosefu sijui wa madini gani huko idk... Hata chaki nazo zina utamu wake,harufu ya kerosene,mkaa kwa mbali[emoji39] [emoji39] [emoji39]
jerrysonkiria said: Hivi tatizo ni nn hamu au???? Click to expand... Hamu tu mkuu...ila wanasema eti ni ukosefu sijui wa madini gani huko idk... Hata chaki nazo zina utamu wake,harufu ya kerosene,mkaa kwa mbali[emoji39] [emoji39] [emoji39]
B Bhampupile JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 810 Reaction score 637 Nov 26, 2016 #8 jerrysonkiria said: Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe? Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii forum ambao najua mnajua mengi. Click to expand... Wengine tena wanatafuna Mkaa sio udongo pekee,, yaani ukileta gunia LA mkaa ndani utaona MTU abafurahia kumbe furaha ya kutafuna mkaa.
jerrysonkiria said: Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe? Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii forum ambao najua mnajua mengi. Click to expand... Wengine tena wanatafuna Mkaa sio udongo pekee,, yaani ukileta gunia LA mkaa ndani utaona MTU abafurahia kumbe furaha ya kutafuna mkaa.
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,226 Reaction score 2,902 Nov 26, 2016 Thread starter #9 Bhampupile said: Wengine tena wanatafuna Mkaa sio udongo pekee,, yaani ukileta gunia LA mkaa ndani utaona MTU abafurahia kumbe furaha ya kutafuna mkaa. Click to expand... Duuuuh sasa hili si tatizo kuubwa sana
Bhampupile said: Wengine tena wanatafuna Mkaa sio udongo pekee,, yaani ukileta gunia LA mkaa ndani utaona MTU abafurahia kumbe furaha ya kutafuna mkaa. Click to expand... Duuuuh sasa hili si tatizo kuubwa sana
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,226 Reaction score 2,902 Nov 26, 2016 Thread starter #10 scorpio me said: Hamu tu mkuu...ila wanasema eti ni ukosefu sijui wa madini gani huko idk... Hata chaki nazo zina utamu wake,harufu ya kerosene,mkaa kwa mbali[emoji39] [emoji39] [emoji39] Click to expand... Mhmmmm bhasi hili ni tatizo la kidaktari si ndio hivyo??
scorpio me said: Hamu tu mkuu...ila wanasema eti ni ukosefu sijui wa madini gani huko idk... Hata chaki nazo zina utamu wake,harufu ya kerosene,mkaa kwa mbali[emoji39] [emoji39] [emoji39] Click to expand... Mhmmmm bhasi hili ni tatizo la kidaktari si ndio hivyo??