Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 161
Ninaomba kuuliza, eti ulaji wa udongo kwa wanawake kunaweza kusababisha bawasiri? Maana kuna dada angu analalamika kuwa anaona kama kinyama kidogo kimeota sehemu ya haja kubwa, nae ni mlaji mzuri wa udongo.