JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 706
- 1,230
Omega 3 ni kirutubisho ambacho kina uwezo mkubwa wa kuboresha afya ya macho, afya ya akili na uwezo wa kutunza kumbukumbu, hupunguza athari ya magonjwa ya moyo, vilevile huboresha afya ya ubongo kwa mjamzito.
Samaki ni chanzo kikuu cha omega 3. Vilevile mayai, Parachichi, na baadhi ya mimea kama mbegu za chia zina virutubisho hivyo.
Viashiria vya uhaba wa virutubisho vya Omega 3 ni Kukosa usingizi. Ngozi, nywele na kucha kuharibika, Dalili za mzio na matatizo katika mfumo wa hedhi kwa wanawake