Kenyan-Tanzanian
JF-Expert Member
- Nov 7, 2006
- 302
- 2
Ishara ya Siasa za Kifasisti sio tu alama zao za kuamkuana ila kutowajabika kwa wanasiasa wa mrengo huu kwenye kujumlisha wote ndani ya ujenzi wa jamii....kwao wanasiasa hawa maendeleo ni maendeleo wakati wao hao ndio wananufaika at the expense of the nation and the majority of its people.
Shukran Rais Emilio Mwai Kibaki. Kwaheri na Tunakuombea Maisha Marefu Chini ya Serekali Jumlisha ya Raila Amolo Odinga and its True Rainbow Coalition, ODM.
VIDEO YA MWISHO WA KAMPEINI HAPA: http://www.africatv.info/video_lire.php?id=10389