Kula Kwa Kibaki, Kura Kwa Raila

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2

Ishara ya Siasa za Kifasisti sio tu alama zao za kuamkuana ila kutowajabika kwa wanasiasa wa mrengo huu kwenye kujumlisha wote ndani ya ujenzi wa jamii....kwao wanasiasa hawa maendeleo ni maendeleo wakati wao hao ndio wananufaika at the expense of the nation and the majority of its people.

180px-Hitler1928.jpg


baks-251207.jpg


Shukran Rais Emilio Mwai Kibaki. Kwaheri na Tunakuombea Maisha Marefu Chini ya Serekali Jumlisha ya Raila Amolo Odinga and its True Rainbow Coalition, ODM.



VIDEO YA MWISHO WA KAMPEINI HAPA: http://www.africatv.info/video_lire.php?id=10389
 
nawaombea kwa mola ili huko kenya wachague ile kitu roho yao inataka:Mungu awatangulie ili mwisho wa uchaguzi amani iwepo na wote waheshimu nguvu ya wengi.
 
baks-251207.jpg



Ishara ya Siasa za Kifasisti sio tu alama zao za kuamkuana ila kutowajabika kwa wanasiasa wa mrengo huu kwenye kujumlisha wote ndani ya ujenzi wa jamii....kwao wanasiasa hawa maendeleo ni maendeleo wakati wao hao ndio wananufaika at the expense of the nation and the majority of its people.

Shukran Rais Emilio Mwai Kibaki. Kwaheri na Tunakuombea Maisha Marefu Chini ya Serekali Jumlisha ya Raila Amolo Odinga and its True Rainbow Coalition, ODM.

Labda Watanzania tutajifunza kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya kwamba inawezekana kabisa kubadilisha viongozi wa serikali toka chama kimoja na kwenda kwenye chama kingine. Huu utakuwa ni uchaguzi wa pili mfululizo ambapo inaonekana kutakuwa na chama kipya madarakani. Hali ilivyo sasa hivi Tanzania tunahitaji mabadiliko ili kuleta maendeleo ya kweli kwa Watanzania. CCM imekuwa jeuri, imekuwa haiambiliki na wala haina muda wa kuwasikiliza wanyonge ambao ndio asilimia kubwa Tanzania. Labda mabadiliko yanaweza kuiamsha CCM na kuamua kujisafisha na kurudi iwe ile CCM ambayo siku zote ilikuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya Watanzania.

Nawatakia uchaguzi mwema na wa amani.
 
Kwa Niaba ya Wakenya Wazalendo,

Nawashukuruni nyote ambao munatutakieni kila kheri tutakapoingia kwa siku ya kura masaa 22 toka sasa.

Ahsanteni sana.

Kutokea kesho nitawapasha matokeo yanavyokuwa yakitiririka pindi hesabu zitakapoanza.

Wengine wanasema hizi siasa zimekuwa kali mpaka it can be either the ballot/kura au the bullet/vita lakini Mungu ataturehemu naye Kibaki akubali tuu kwamba kabila 40 zinataka kuongozwa na Raila wala siye huku nne zikiwa ndio zinataka aendelee kuwa Rais. Kenya ina kabila 44.

Demokrasia, wanaoielewa sana hutuambia ni mtindo wa kisiasa ambao majority have their way and minority their say. Sasa wacha Raila atawale na Kibaki anaweza have his say kama Kiongozi wa Upinzani.

Ahsanteni Waheshimiwa


capt.sge.nic14.251207213746.photo03.photo.default-273x512.jpg
 
Posted Date:: 21.12.2007 @02:22 EAT

Leading kenya candidates named in shady land deals

By Jeff Otieno and David Mugonyi, Nairobi
THE CITIZEN

Key figures in the three main presidential campaigns have been named in irregular deals involving public land whose value was given as KSh53 billion (Tsh901 billion).

The government's human rights watchdog accused top ODM and ODM-K leaders, including presidential candidates Raila Odinga and Kalonzo Musyoka, of benefiting from public land transferred to private use under questionable deals.

The Kenya National Commission on Human Rights also said that PNU, the party sponsoring President Kibaki's re-election, had benefited from contributions from business people who got public land irregularly under the Kanu administration.

Mr Odinga was blamed over the Kisumu Molasses Plant transaction while Mr Musyoka was also said to have benefited from public land in Ukambani.

And the report blamed President Kibaki for failing to act against those who had benefited from irregular allocations.

Releasing the report Wednesday at KNHCR headquarters, the coordinator of the Kenya Land Alliance, Dr Odenda Lumumba, said: "Each one of the presidential candidates has let Kenyans down in one way or the other."

"Some of them are in the ODM Pentagon and others are business people funding the PNU campaigns."

But Mr Odinga Wednesday denied any wrongdoing in his family's acquisition of the Kisumu Molasses plant.

In a paid advertisement appearing in the Daily Nation, Mr Odinga dismissed the allegations saying the Odinga family-owned Spectre International acquired the land legally.

President Kibaki's campaign manager George Nyamweya said: "Those funding President Kibaki re-election campaign are people of integrity. And to say that they got their money through corruption is a very strange way of looking at issues."

And Mr Musyoka said he had surrendered the parcel of land he was given at Masongaleni but he had "properly and legally" bought another in Yatta.

"All the land I own is in my wealth declaration form which I made public," he said.

The news conference at which the report was unveiled was also attended by the KNCHR chairman Maina Kiai and Mr Paul Ndung'u who chaired the Ndung'u commission which investigated the irregular land transactions.
 
The Standard Online | Dec 25 2007


Mysterious police trips fuel poll rigging claims

Published on December 26, 2007, 12:00 am


By Standard Team

With the elections only hours away, at least 20 civilian buses drove out of a high security facility in Nairobi on Monday night as The Standard and KTN undercover reporters and crew watched.

The buses left the Embakasi Administration Police Training College, initially at intervals of between 10 and 20 minutes. Later, they left in much quicker succession.

Hours later, the destination of the buses and the mission of their occupants became known. TV footage and still pictures in our possession show the names of the buses and their registration numbers.

Several people said to be APs were injured at Mbita in Suba District, when members of the public attacked them. They were also attacked in Sori in the volatile Nyatike Constituency. In Mbita, police moved in swiftly to save about 100 other members of the entourage from an enraged mob, who accused the visitors of being part of a team of APs allegedly trained to disrupt the elections. The chaos paralysed business in Mbita and disrupted Christmas festivities.

Elsewhere in Homa Bay, Migori and Rongo, tension was high after people claiming to be Party of National Unity agents arrived in several buses.

Two — a Citi Hoppa KAW 055W and a KBS registration KAX 040C — drove into Homa Bay in the morning with one group. On alighting, the officers quickly mingled and freely chatted with the locally based APs, locals said.

As word spread about the presence of the officers, members of the public quickly gathered in groups and sought to know their mission, heightening tension.

By 1pm, there was no official word on what exactly they were doing in Homa Bay. But a source within the Provincial Administration circles, who preferred anonymity said, "Hawa ni wageni wa DC (These are the DC’s guests)".

Nyanza Provincial Police Officer, Ms Grace Kaindi, told The Standard she was not aware of the presence of the APs. "I’m not expecting additional security from outside the province".

In Mbita, the group that claimed to be PNU election agents ran into trouble on arrival in two Mololine buses from Nairobi.

One of the said agents was beaten and left for dead at the Mbita Bus Park, where he was cornered as his colleagues rushed for refuge at the local police station.

The Mbita Kanu parliamentary candidate, Mr Okuku Miregi, who has been campaigning for PNU in the region disowned the group, saying it had a sinister motive and should not be allowed anywhere near polling stations.

Said he: "The Suba OCPD called this morning to inform me that some 100 PNU agents were in town. This shocked me because I should have been told as the local PNU official".

When contacted, PNU spokesman Mr George Nyamweya, said: "Those people you are talking about cannot be attributed to PNU. We have our own agents and we do not have to use APs or police".

He said what the APs do at their camp, "like loading their officers into buses" is not a PNU affair, adding that they did not control what APs do.

He said the party — under which President Kibaki is seeking re-election — would send its agents that it will have recruited to all parts of the country.



The first bus drove out of the AP College in Nairobi at 12.10am on Monday/Tuesday, the last at 1.45am in the morning. The college is set in a high security area adjacent to both the Army and the General Service Unit (GSU) camps. Also within proximity is the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), which is watched by satellites and power cameras.

Asked who the civilian buses were ferrying from a high security facility, AP spokesman Mr Masood Mwinyi explained that just like other security agents, the officers were being deployed to various parts of the country to provide the needed services.

The AP Commandant, Mr Kinuthia Mbugua, had earlier denied claims that there was a plot to use the officers to rig the elections, dismissing the allegations as "mere propaganda".

On Tuesday, sources familiar with this seemingly shadowy operation hinted that the passengers, who were only silhouettes with interior lights switched off, were being bussed to Opposition strongholds.

More of the buses, hired from a number of upcountry and city PSV operating companies, were expected to drive in and out of the facility last night. The rest will follow this morning to conclude the exercise, impeccable sources said.

On its part, the Electoral Commission of Kenya termed as disturbing allegations that APs have been recruited as PNU polling agents.

ECK chairman Mr Samuel Kivuitu, however, said the ECK had no role to play in the appointment of polling agents and only sought appointment letters presented by the agent.

"We do not have any role in the appointment of agents. What the law requires is that the agent presents an appointment letter to the ECK three days before the poll," he said.

Kivuitu said APs were barred by law from acting as political party agents.

"They may sneak in if they operate like civilians. We have no powers to detect if an agent is an AP or not. However, the ECK will clamp down hard on any officer found to have masqueraded as an agent," he said.

He said the AG will be called upon to act against such officers whose offence is punishable under the Public Officer Ethics Act.

"These are heinous crimes. Such schemes are utterly undemocratic and retrogressive. They sadly will return the people to the slavery they freed themselves from in 1991," said Kivuitu.

He added: "It may be impossible to associate that candidate (Kibaki) with such schemes going by his past record. However, his overzealous campaign leaders can be tempted to abuse State power and authority to his advantage without his personal involvement," he said.

He said the ECK had received the claims through the media, SMS and by ODM and ODM Kenya.

"ECK has not yet received any evidence that these schemes were contemplated or are awaiting implementation. Kenyans must be alert and report truthfully to ECK any attempt to offer bribes to members of the Provincial Administration," he said.

What undercover team found out

On Monday night, The Standard investigative team pitched camp outside the facility following a tip-off from a reliable source at the camp.

The AP Training College, which is at the far-flung end of Nairobi’s sprawling Eastlands, has been at the centre of claims — which have been vigorously denied by the authorities — of ballot stuffing and training of personnel to disrupt polling in target constituencies to slow down or altogether derail ODM, whose candidate Mr Raila Odinga is the strongest contender for the presidency, according to opinion polls.

One bus, a Citi Hoppa, which our undercover team trailed moments after departure, took the Northern Airport Road, entered the Mombasa-Nairobi Road at City Cabanas, and drove down Uhuru Highway. The bus, registration No KAX 150S then drove down Waiyaki Way before it stopped briefly at Oil Libya Petrol Station in Westlands to fuel. This was at 12.45am. It was the second bus to leave.

The bus’s interior lights stayed off.

The first to leave the facility was a Kenya Bus KAZ 178U. It shook off our trail, with a clever turn before City Cabanas. It must have headed towards Ruai, an alternative exit.

Apart from what our undercover team witnessed, an AP officer, who was drafted into the squad, turned up at KTN studios on Tuesday and gave fresh insights into the plot. He was dropped at the 11th hour on account of where he hails from, he said.

On Tuesday, questions were left in the wake of faceless men and their intentions. Faceless because even though they are believed to be APs, sources said they had been stripped of their uniforms, IDs and certificates of appointment to eliminate the paper trail. It was also difficult to establish exactly how many they were.

Our team was informed that they only had letters of appointment allegedly signed by a senior person in Government and addressed to Returning Officers, which will give them access to restricted polling areas.

Last Saturday, KTN ran an exclusive story on how some 2,500 APs were being trained to interfere with tomorrow’s General Election, drawing a furious response from the Government and earning the station a date with the newly constituted Media Council of Kenya after the Information Permanent Secretary, Dr Bitange Ndemo, lodged a complaint.

This was after a whistleblower leaked information to the station that some police officers were allegedly marking ballots at the AP Commandant’s house in Embakasi and at the fourth floor of Harambee House.

Meanwhile, A KTN reporter, who was part of the undercover crew, has received threatening calls urging him to "go slow on the story or face death".

A source told The Standard that each of the officers on the "strange mission" was given anything between Sh21,000 and Sh62,000 according to their rank.

The Standard established that the recruits held Bibles then uttered the following words in unison: " I ...swear that I will not at the General Election taking place on December 27, 2007, do anything forbidden by Section 5 of the Election Offences Act which has been read to me..."

Sources said this vow, which is the standard ECK pledge, was taken to make them look like just harmless party agents.

Our investigations revealed that a senior deputy AP Commandant was present at the facility on Monday night as the buses drove out.

There were also reports of tension and suspicion at the camp, with suggestions that the exercise did not go down well with some officers.

The full magnitude of the operation and the personnel involved was unclear, with some sources saying up to 55 buses will have ferried the officers from the facility.


Home - Privacy policy - Contact us
© 2007 Standard Group
SOURCE: Standard Online www.eastandard.net
 
BREAKING NEWS FROM THE GROUND:There's tension and an eerie feeling in Kenya at the moment. Everywhere you go, there's talk of what will happen on the 28th and 29th December when election results come in.

I pray that if Kibaki wins, it is in a free and fair manner and if Raila wins in a free and fair manner then P.N.U. will accept the results and relinquish power. I must admit that even I am uncomfortable with the level of anti-Kikuyu sentiment on the ground at the moment. Believe it or not it is very similar to the referendum mood where it's perceived as a contest between elite Kikuyu regime versus the rest of the tribes. It's scary!

Wherever I move up and down the country, the People supporting ODM are ready to shed blood and sacrifice their lives if Kibaki rigs the elections. They are talking about evicting and shutting out Kikuyus from their lands. No one is ready to have a rational conversation on moving on should the elections be rigged! We may just be faced with a major showdown here.

I pray that these elections are free and fair and that all these rigging stories do not eventuate otherwise I doubt if the civil war that Kenya has been so priviledged to avoid for all these years when neighbouring countries couldn't will be avoided anymore. If that happens, we'll all lose, O.D.M., O.D.M.-Kenya and P.N.U.

I pray that sanity prevails and elections are held without any controversy. Sentiments and emotions are highly charged at the moment and that's a recipe for chaos should the elections be rigged.

Pray for us Waheshimiwa


_____________________________________________

"Have no fear of sudden disaster or of the ruin that overtakes the wicked, for the Lord will be your confidence and will keep your foot from being snared." -

Proverbs 3:25-26.
 
Wakenya Ndugu zetu tuko pamoja,

Yoyote akichaguliwa -amani mbele! The price of peace pia inahitaji kuvumiliana!

Amani iwe ktk uchaguzi ya Kenya!
 
kenyavote_10;_ylt=A0WTcU1QQnJHdAMBqjWZsdEF



Masapota wa Upinzani wenye gadhabu ya ajabu wakizirarua posta za Rais Mwai Kibaki kama ishara wa kupinga mbinu chafu ambazo serikali inajaribu kutumia kuiba kura za kesho....
 
1. Hivi kwa nini siku zote serikali iliyo madarakani ndo Afrika huonekana na kusingiziwa ni waiba kura? Why this always in Afrika? Ina maana waliopo madarakani wawezi kushinda bila kuiba kura?

2. 2002 Kibaki aliposhinda Moi hakuweza kuiba kura? Chiluba aliposhinda Zambia 1991 Kaunda hakuweza kuiba kura?

3. Kama Raila au Kibaki atakaye shinda ameshinda- hisia za kuiba kura ni mbaya na saa ingine ndo kuwa channzo cha uvunjifu wa amani!
 
1. Hivi kwa nini siku zote serikali iliyo madarakani ndo Afrika huonekana na kusingiziwa ni waiba kura? Why this always in Afrika? Ina maana waliopo madarakani wawezi kushinda bila kuiba kura?

2. 2002 Kibaki aliposhinda Moi hakuweza kuiba kura? Chiluba aliposhinda Zambia 1991 Kaunda hakuweza kuiba kura?

3. Kama Raila au Kibaki atakaye shinda ameshinda- hisia za kuiba kura ni mbaya na saa ingine ndo kuwa channzo cha uvunjifu wa amani!

Mzalendo sijui mengi sana kuhusu hio kesi ya Zambia ila ya Kenya nitakufahamisha mawili.

1. Moi and KANU walifanya rigging ya ajabu lakini bado walishindwa kwajili wananchi wenyewe (kama wanavyofanya sasa) waliwashika na kuwaua, kuwapeleka polisi au kuwafukuza hao vijakazi wa Moi ambao wengi wao huwa ni polisi na maafisa wa idara za ujasusi.

2. Watangazaji wa redio wanashangaa na vile ma SmS zinaingia kwa fujo toka maeneo mbali mbali nchini ambako Upinzani ina mvuto. Wananchi wanapiga simu kwa vituo vya redio za kikabila na za kitaifa wakisema wamewakamata au kuwashuku maafisa fulani ambao hata wakuu wa jeshi la polisi wanasema hawajafahamishwa kuwa hawa "support polis extra" watatumwa huko walioko eg Nyanza, North Rift na Ukambani.

Awali msemaji wa serikali alienda hewani akikanusha madai kwamba hawa ni maafisa wa askari licha ya wananchi kuwapata na vitambulisho baadaye sasa yupo hewani tena amegeuka na kusema eti ni support team ya kuwasaidia maaskari waliotumwa awali......cha kushangaza yasemekana wote ni wa kabila fulani uijuayo hata wewe...

3. Kibaki just like Moi ataiba kura sana huko Central anakoenjoy overwhelming support lakini bado atashindwa.

4. Bado unakuja Nairobi mwakani Januari?

5. Sipendi kusambaza infomeshen bila kutoa evidensi: http://www.kbc.co.ke/story.asp?ID=47352
 
Mzalendo sijui mengi sana kuhusu hio kesi ya Zambia ila ya Kenya nitakufahamisha mawili.

1. Moi and KANU walifanya rigging ya ajabu lakini bado walishindwa kwajili wananchi wenyewe (kama wanavyofanya sasa) waliwashika na kuwaua, kuwapeleka polisi au kuwafukuza hao vijakazi wa Moi ambao wengi wao huwa ni polisi na maafisa wa idara za ujasusi.

2. Watangazaji wa redio wanashangaa na vile ma SmS zinaingia kwa fujo toka maeneo mbali mbali nchini ambako Upinzani ina mvuto. Wananchi wanapiga simu kwa vituo vya redio za kikabila na za kitaifa wakisema wamewakamata au kuwashuku maafisa fulani ambao hata wakuu wa jeshi la polisi wanasema hawajafahamishwa kuwa hawa "support polis extra" watatumwa huko walioko eg Nyanza, North Rift na Ukambani.

Awali msemaji wa serikali alienda hewani akikanusha madai kwamba hawa ni maafisa wa askari licha ya wananchi kuwapata na vitambulisho baadaye sasa yupo hewani tena amegeuka na kusema eti ni support team ya kuwasaidia maaskari waliotumwa awali......cha kushangaza yasemekana wote ni wa kabila fulani uijuayo hata wewe...

3. Kibaki just like Moi ataiba kura sana huko Central anakoenjoy overwhelming support lakini bado atashindwa.

4. Bado unakuja Nairobi mwakani Januari?

5. Sipendi kusambaza infomeshen bila kutoa evidensi: http://www.kbc.co.ke/story.asp?ID=47352

Kenya-Tanzanian,
1. Thanks for good information- taabu tu ni pale mechi bado halafu watu wasema faulu tayari! Hope this is not a fear for defeat!

2. Nairobi nitakuja Jan. kunywa Tusker baridi ndugu yangu kusheherekea Kibaki Victory! Ila who ever wins ndugu yangu- hii ni siasa tu- whoever wins- as a country it is just ok- tusonge tu mbele! Nikija nitakutaarifu!

Ndo maana mimi naomba amani iwe ktk uchaguzi wa Kenya kama ndugu na jirani zetu!
 
Kenya-Tanzanian,
1. Thanks for good information- taabu tu ni pale mechi bado halafu watu wasema faulu tayari! Hope this is not a fear for defeat!

2. Nairobi nitakuja Jan. kunywa Tusker baridi ndugu yangu kusheherekea Kibaki Victory! Ila who ever wins ndugu yangu- hii ni siasa tu- whoever wins- as a country it is just ok- tusonge tu mbele! Nikija nitakutaarifu!

Ndo maana mimi naomba amani iwe ktk uchaguzi wa Kenya kama ndugu na jirani zetu!

Sawa Mzalendo lakini nahisi kwamba hizo beer za Tusker tutakunywa tukisherehekea ushindi mzito wa Raila.

Leo machana vikosi za Majeshi wa nchi kavu, majeshi wa anga na majeshi wa Baharini au Nevi zimefanya maigizo au rehearsals in readiness kwa ile sherekhe ya kumuapisha kama rais yeyote yule atakayeshinda uchagauzi wa kesho. Kwa mara ya kwanza, majeshi hao wamefanya rehearsals mbili. Kibaki akishinda basi programu ya kumuapisha upya itakuwa tofauti na ile programu ya kumuapisha Raila akishinda.

____________


0 days 21 hours 57 minutes 14 seconds to voting day


Military ready for presidential election
By ODHIAMBO ORLALE

Military officers today held a rehearsal at Nyayo National Stadium for the presidential inauguration expected soon after tomorrow’s election.

The colourful event drew a big crowd of curious onlookers.


The Army commander, Lieutenant-General S.K. Njoroge, did not state when or where the real ceremony will be held after a winner emerges in the elections.


The commander described the rehearsals as ‘normal’, saying they have always done it on the eve of a General Election.


Said the commander: “We have two rehearsals, one for the incumbent and one for a new president, depending on the outcome of the elections.”


Government spokesman, Dr Alfred Mutua, also said arrangements for the swearing-in ceremony had been finalised, but he did not elaborate.


The front runners in the presidential race are the incumbent, President Kibaki, and his two former Cabinet ministers and ODM’s Mr Raila Odinga.


The army, the air force and the navy officers arrived at the venue from 7am.


They were watched by some of the 1,051 clerks and 308 presiding and deputy presiding officers hired by the Electoral Commission to man the polling stations in Lang’ata constituency.


The lieutenant-general was the man of the hour who, acting as the president, was driven in the ceremonial Land Rover reserved for their Commander-in-Chief, the Head of State.


After the brief lap of honour round the stadium, the army commander inspected a guard of honour and then proceeded to the presidential dais escorted by senior officers.


Nation Media Group all rights reserved 2007

SOURCE: http://politics.nationmedia.com/inner.asp?sid=1138
___________________________________________
 
1. Mimi naona kuna upungufu ktk taratibu kupata mshindi with adequate/majority legitimacy! It means even if A candidate gets 30% of total votes- he will be declared a Winner? What about 75% who did not elect him? It is fair for a president to get mote than 50%

2. In Tz why people feel bad obout JK and the cuurent state of economy is because ge got 80% of votes!
 
Vurugu za uchaguzi zaua watano Kenya

200711221358044400_203.jpg


Vurugu hizo zimetokea saa chache
kabla ya uwanatarajiwa kufanya
uchaguzi mkuu mnamo siku ya
Alhamisi.pigaji kura kuanza


Huku ikiwa imesalia saa chache kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini Kenya, imeripotiwa kuwa watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa ikiwemo maafisa wa polisi kufuatia machafuko yaliyotokea mjini Nairobi na mkoani Nyanza.
Inadaiwa kuwa ghasia hizo zilitokea kufuatia madai ya njama za wizi wa kura kwenye uchaguzi wa hapo kesho ambao umeleezewa kuwa na ushindani mkubwa.

Serikali imelaumu ghasia hizo na kuwataka wananchi kudumisha amani. Wakati huo huo; nchini Tanzania Watanzania wameombwa kuombea amani na utulivu katika uchaguzi mkuu wa Kenya wa hapo kesho. Rai hiyo imetolewa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Alex Malasusa amesema kuwa jumuiya ya Afrika mashariki ni kama jengo ambapo Tanzania na Kenya ni sawa na vyumba kwenye jengo hilo.

Alisema Tanzania inaweza kuathirika na yale yanayotokea nchini Kenya na hivyo watanzania hawana budi kuwaombea wakenya kufanya uchaguzi ulio na amani, huru na wa haki.

Natoa rambi rambi kwa ndugu na jamaa waliopoteza maisha yao.
 
I Believe Tanzania Has A Bigger Diversity Of Ethinic Groups Compared To Kenya Yet These Groups Live Together In Harmon Dispite Poverty And Limited Assential Services. Why Cant You Neighbours Learn From Us Free Of Charge? Kenya Is Better Placed To Develop Its People If You Stay Together As A Nation And Not As A Kikuyu Or Luo
 
Back
Top Bottom