Kila kitu kina heshima yake na kila kiungo cha mwili wa binadamu Mwenyeezi Mungu kakipangia kazi yake Haipendezi kabisa kula chakula huku umesimama. Ni sawasawa Mtu anayekula chakula huku anautumia Mkono wake wa kushoto kulia chakula wakati mkono wake wa kulia ni mzima kabisa pia haipendezi kabisa. mkuu Boflo Tumia akili yako .

tafuta mke uoe..ukshakuwa na familia tabia yako ya kula umesimama itakoma....imagine una mke na watoto afu unatengewa msosi mezani wenzio wamekaa we unakula umesimama hata mwanao wa kindergaten atashindwa kukushangaa..