Kukumbuka ndoto

Kumbe unaweza kufosi ndoto hii kali nayo
 
Hakuna Mwanadamu mweye uwezo wa kukumbuka ndoto aliyoota kwasababu ukilala Ubongo unakua on Hibernate mofe
Usipoikumbuka ujue ndoto hiyo haina maana/ufunuo au ujumbe wa maana.

. Mara nyingi ndoto tunazozikumbuka ni zile ambazo tumeota alfajiri au dakika kadhaa kabla ya kuamka....Au ukishtuka kama ulikua unaota basi ndoto hiyo utaikumbuka.

Bimafsi hua nasema ndoto haina maana kwangu ni kinogesho cha usingizi not otherwise, kama ni ndoto yenye maana toka kwa Mungu lazima uiote mara kwa mara mpaka ujumbe utakapoupata.
Sometimes shetani anaingilia hapo, Atakuletea mauzauza ili uone unatka kurogwa uangukie kwenye ushirikina...And sometimes sisi wenyewe tunajitengenezea matukio ya kuota kwa fikra zetu potofu za kuamini tunataka kurogwa.

Kwa utafiti wangu usio rasmi nimegundua Walokole karibia wote wana Schizophrenia. Mara nyingi hujiona wao ndio first class kwa Mungu so wanaona Wana uwezo wa kuongea nae, sometimes wanaota wapo pamoja na Mungu. Kumbe they just Hallucinating ajd eating their own feelings
 
Umenipa mbinu aisee,

Mara nyingi nikiamka huwa nakumbuka vizuri tu,ila zikipita dakika nasahau kabisa kabisa.
 
Mfano ,ingekuwa unaweza record kila kilichotokea kwenye ndoto,amini kuna mambo mengi tungeweza jifunza na kuyafaham.
 
Ni kazi unless ukiwa mazingira ya mchana ukutane na kitu kilichokuwa kwenye ndoto inaweza kukusaidia kukumbuka.
Kama ni muamini Mwombe Mungu akukumbushe maana Yeye husema na watu wake kwa kupitia ndoto.
Kusema na MUNGU inahitaji kuwa msafi sana.

Ila ni njia bora sana
 
Kuna mda mwingine kweli unaota ndoto inatisha balaa,yani hadi ukiamka unashukuru ile ni ndoto tu.
 
KRISTO huwa anasema na sisi kwa njia ya ndoto sana.
 
Mimi huwa naota ndoto ila nakuwa kama naona na kusikia.

Mfano ndoto za kula mzigo huwa nasikia kabisa hapa nacharaza mtu.

nisiseme sana kwa kweli
 
Kuna nyingine unakumbuka. Nyingine zinapotea kichwani kama upepo. But mimi sijawahi kuzitilia maanani ndoto...naonaga ni ubongo tu unaplay trick kwangu.
 
Vile vile ukiwa mtu ambaye mara nyingi unasema ukweli ndoto zako pia zitakuwa kweli na ukiwa muongo mara nyingi ndoto zako zitakuwa sio za kweli,note that!
 
Mimi huwa naota ndoto ila nakuwa kama naona na kusikia.

Mfano ndoto za kula mzigo huwa nasikia kabisa hapa nacharaza mtu.

nisiseme sana kwa kweli
Duuh,yako nzuri sana
 
Vile vile ukiwa mtu ambaye mara nyingi unasema ukweli ndoto zako pia zitakuwa kweli na ukiwa muongo mara nyingi ndoto zako zitakuwa sio za kweli,note that!
Duh,hii mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…