Umeulizwa hiyo avatar vepeeeeeee
Ndo nini mazeee?Punguza kimbelembele
Mganga hana uwezo wa kununua huyo kuku bei ya kuku mmoja Ni $ 2500Mkuu hiyo mbegu usiipoteze, fuga kwa wingi then kajenge genge la kuku karibu na makazi ya mganga. Mbona soon hao kuku watageka sukari na tz kwa sasa
Sio kinyume chake kweli?
nini kinachowapa thamani sana till wauzwe kwa bei hiyo?Mganga hana uwezo wa kununua huyo kuku bei ya kuku mmoja Ni $ 2500
rangi yao hahhahahanini kinachowapa thamani sana till wauzwe kwa bei hiyo?
Tatizo mleta uzi kakurupuka, inadaiwa huyu kuku nyama yake inafaida sana kwetu (watu) pia anapatikana kwa wingi Indonesia na wanunuzi wakubwa nchi za Ulaya. Huyu Ni mweusi hadi nyama na mayai yake kama anavyoonekana ktk picha, anaitwa Hariri au Silknini kinachowapa thamani sana till wauzwe kwa bei hiyo?