Kuku wangu wanakufa msaada tafadhali

Kununua kuku ili kuwafuga hatua ya kwanza ni kuwapa antibiotic for 5-7 days and then you vacinate them starting with newcastle and then gomboro after 14 days. short 2that ur in 4trouble.
 
Asante sanaa tena sanaa kiongozi nashukuru kwa msaada wako sema naonaaa hali ni tete nimejaribu kila dawa haifanyi kazi kabisaaa hata kidogo hapa nawaza nini tena nidanye imebidi niwatenganishe sema wengine halizao nzuri kidogo ila bado bado....
 
Mkuu asante sanaa tena sanaa yaani acha tu wanakatika vibaya sanaaaaa na wanazidi kufaa....hivi hizo chanjo zote ni tofauti tofauti??

Ila sitokata tamaa nataka ninunue tena wengine sema wakija tu cha kwanza wanachanjwa ndio nawachanganya sio hivi hivi tu....na hizo chanjo za kideri ndui na gomboro zote tofauti nawapa mda tofauti??

Pia sasa hivi nimewapa chanjo vifaranga ya week 2 na week moja naona ambao walikuwa wazima na kuku wakubwa wanaokaribia kutaga je vifaranga niwape chanjo tena lini na hao wakubwa niwape chanjo tena lini??
 
Huo ni mdondo

Mara nyingi huambukiza kwa kuku mzima kukanyaga kinyesi cha kuku mgonjwa

Inabidi uwatenge kuku wazima na wagonjwa

Nimeshafanya hivyo tayari aisee huu ugonjwa ni hatari sana alafu hauna tibaaa
 
Watenge kuku wagonjwa, wazima wapatie chanjo ya mdondo, hao wagonjwa mwone daktari mifugo akuelekeze antibiotic itakayofaa! Hongera kwa changamoto..

Changamoto kubwa sanaa kiongozi sio kidogo na jana nimewapa chanjo tayari na wanaoumwa nimewatenganisha tayari....
 
Nashukuru sanaa kiongozi kwa mawazo yako mazuri asante sanaa sasa wapi nitapata vifaranga wa kienyeji hata 100??

Huwa nakuwa mwenyewe shambani piaa sema kila weekend na huwa naenda naona matokeo mwenyewe
 
kwa dalili hizo huo ni ugonjwa wa kideri ambao kuku wakiwa na vimelea vya hao virus kupona ni nadra sana.hivyo jaribu kuwapa pilipili kichaa huwa inasaidia,na kama hawakupewa chanjo basi huenda wakabaki waliochanjwa pekee

Sawa sawa nashukuru kwa msaada wako je pili pili kichaaa yenyewe nawapeje kwenye chakula au kwenye maji nawapa au niwanyweshe wagonjwa wote??
 
Kununua kuku ili kuwafuga hatua ya kwanza ni kuwapa antibiotic for 5-7 days and then you vacinate them starting with newcastle and then gomboro after 14 days. short 2that ur in 4trouble.

Nashukuru sanaa kwa huu ushauri asante sanaa tena sanaaa mkuu...nitakuwa nafanya hivyo sasa hivi wala hamna neno....mkuu sasa kama nanunua kidogo kidogo inakuwaje hapo itakuwa ngumu kujua yupi nimempa chanjo si ndio??
 
Pole sana, hicho ni kideri na kama kinyesi chake ni anahara tena kina ukijani na njano njano na huku anashusha mabawa basi bila shaka ni kideri (new castle disease), na huwa inasambaa kwa njia ya hewa kwa kukohoa au kupiga chafya... muhimu kuwatenga wale wazima na wagonjwa, mara nyingi ikitokea hivyo hata wale wazima unakuta wameshaathirika sema wako kwenye incubation period na dalili zinatokea baadae...lakini kuna ambao unakuta wana kinga anma walichanjwa huko walikotoka au basi tu wana kinga yao ya asili, japo ni wachache ( kama alivyosema mdau hapo juu kuwa huwa wanakuja kuwa mashuhuda kwa wengine watakaokuja). kwa wafugaji wa kuku wanajua sana hii kitu nadhani pia Mungu kaiweka vinginevyo kizazi cha kuku kingekuwa kimetoweka.. uwe unazingatia chanjo, ya magonjwa mbalimbali na unapomnunua kuku mgeni usimchanganye kwanza na wengine kabla ya kumchanja na kujiridhisha.. vile vile ni vizuri basi ukiwa mfugaji serious uwe na mtaalamu wa mifugo atakaekuwa anakutembelea na kukupa ushauri kuhusu nini ufanye kuanzia mabanda, matunzo, na hata lishe ili kuwa na tija.. goodluck
 
Kununua kuku ili kuwafuga hatua ya kwanza ni kuwapa antibiotic for 5-7 days and then you vacinate them starting with newcastle and then gomboro after 14 days. short 2that ur in 4trouble.
Ushauri Mzuri. Ubarikiwe sana.
 
Nashukuru sanaa na nimejifunza something asante sana tena sanaa na mungu akujaalie ushauri wako nimeusikia mkuu....
 
wanyweshe wagonjwa wote huenda wakapona.

Asante sanaaa naonaa kidogo nimebakiwa na mmoja ambaye na yeye bado anasinzia ila naamini mungu atasaidia ila wote waliokuwa wanataga wamekufaaaa
 
Pole sana mkuu! New castle ni kila baada ya miezi mitatu,antibiotic ni six days kwa vifaranga wa day1 then plain water siku1 then antibiotics mpk cku ya 14 unachanja new castle. Ufugaji una changamoto hasa magonjwa ila ukizingatia utainjoi
 
Kununua kuku ili kuwafuga hatua ya kwanza ni kuwapa antibiotic for 5-7 days and then you vacinate them starting with newcastle and then gomboro after 14 days. short 2that ur in 4trouble.
Namimi nashangaa kwanini alisisitiza kununua kuku wasiochanjwa.
 
Pole sana mkuu! New castle ni kila baada ya miezi mitatu,antibiotic ni six days kwa vifaranga wa day1 then plain water siku1 then antibiotics mpk cku ya 14 unachanja new castle. Ufugaji una changamoto hasa magonjwa ila ukizingatia utainjoi

Asante sanaa mkuu mawazo yako yanasaidia na nashukuru sanaaa.....unajuwa mtu ukiwa unaanza kufuga inakuwa mtihani sanaaa na vitu vingi unakuwa hujui ila nashukuru sana kwa mawazo yako na nimeyatekeleza asante sana na nashukuru sanaaa tena sanaa
 
Nashukuru sanaa kwa huu ushauri asante sanaa tena sanaaa mkuu...nitakuwa nafanya hivyo sasa hivi wala hamna neno....mkuu sasa kama nanunua kidogo kidogo inakuwaje hapo itakuwa ngumu kujua yupi nimempa chanjo si ndio??
Mkuu wanafanana wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…