N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Sep 11, 2018 #41 godizila said: Sawa nimesema hivyo kutokana na ushauri wako Wa kujua kama ana mafuta mengi Click to expand... Usimchinje bwana!!!
godizila said: Sawa nimesema hivyo kutokana na ushauri wako Wa kujua kama ana mafuta mengi Click to expand... Usimchinje bwana!!!
godizila JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 846 Reaction score 387 Sep 11, 2018 Thread starter #42 Ekuweme said: Atakuwa na problem kwenye menstruation circle yake au amekuwa shoga! Click to expand... Duuuuh
Ekuweme said: Atakuwa na problem kwenye menstruation circle yake au amekuwa shoga! Click to expand... Duuuuh
godizila JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 846 Reaction score 387 Sep 11, 2018 Thread starter #43 NAHUJA said: Usimchinje bwana!!! Click to expand... OK nipe ushauri kujua kama ana mafuta sana au la
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Sep 11, 2018 #44 godizila said: OK nipe ushauri kujua kama ana mafuta sana au la Click to expand... Mwangalie kwenye "kinyeo" chake. Fanya kama unapuliza hivi, kama ana mafuta mengi utayaona hapo kwenye "kinyeo"
godizila said: OK nipe ushauri kujua kama ana mafuta sana au la Click to expand... Mwangalie kwenye "kinyeo" chake. Fanya kama unapuliza hivi, kama ana mafuta mengi utayaona hapo kwenye "kinyeo"
godizila JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 846 Reaction score 387 Sep 11, 2018 Thread starter #45 NAHUJA said: Mwangalie kwenye "kinyeo" chake. Fanya kama unapuliza hivi, kama ana mafuta mengi utayaona hapo kwenye "kinyeo" Click to expand... Itaonyeshesha nin?
NAHUJA said: Mwangalie kwenye "kinyeo" chake. Fanya kama unapuliza hivi, kama ana mafuta mengi utayaona hapo kwenye "kinyeo" Click to expand... Itaonyeshesha nin?
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,354 Reaction score 23,084 Sep 11, 2018 #46 Mara nyingi kuku kama hao wanakuwa na mafuta mengi sana tumboni hivyo wanashindwa kutaga. Mchinje umle tu maana kama kweli mafuta ndio yanamfanya asitage anaweza kufa ghafla
Mara nyingi kuku kama hao wanakuwa na mafuta mengi sana tumboni hivyo wanashindwa kutaga. Mchinje umle tu maana kama kweli mafuta ndio yanamfanya asitage anaweza kufa ghafla
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Sep 11, 2018 #47 upendodaima said: Mpige nao mwenyewe. Click to expand... SubhanAllah,Nyie ndo mtakaofanya kiyama kifike kabla ya muda wake
upendodaima said: Mpige nao mwenyewe. Click to expand... SubhanAllah,Nyie ndo mtakaofanya kiyama kifike kabla ya muda wake