Kuku Wangu hatagi

Mchinje kula nyama mkuu. Mayai yake utakuwa umeyafaidi si yapo ndani hayataki kutoka
 
Mchunguze huenda anakula
Baada ya kutaga
 
Atakua na upungufu wa vitamin, mnunulie Vitamin au kuna dawa inaitwa Egg Booster, wanayotumia wafugaji wa kuku wa mayai
 
Tatizo jogoo
mpande wewe kama una mda uone

Afu kuku m1 unaanzisha mada?
 
Egg Booster pia ni mchanganyiko wa vitamin tu, ukiwapa halafu wakapata maji na chakula vizuri huongeza production ya mayai sana
Hiii dawa inauzwa sh ngapi
@maana mie nawalisha pumba yenye mchanganyiko Wa mashudu ya pambaaa
 
Atakuwa na problem kwenye menstruation circle yake au amekuwa shoga!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…