[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani kampeni ya Uzazi wa Mpango unadhani hawajaisikia?
Ulishawahi kumpoka mayai..? Labda ana stress. kuna vet mmoja aliniambia bata na kuku wakiwa na stres hawatagi wala kukua vizur. Wabadilishie mazingira.Wakuu habarini za asubuhi Nina Kuku wangu tetea alitaga mzao Wa kwanza mayai 8 akakataa kuyatamia
Ilipofika muda Wa kutaga mzao wake Wa pili alianza kutetea kwa kasi sana na akitaka kutaga anaingia mahali pa kutagia anakaa hapo karibu nusu SAA anatoka nje bila kutaga yai hali hii imejirudia sana takribani wiki ya tatu sasa ......
Naomba ushauri wenu wakuu
NB; usiwe kuchinja[emoji3]
Hakukubali kuyatamia kwa hiyo nilikula mayai yake.Ulishawahi kumpoka mayai..? Labda ana stress. kuna vet mmoja aliniambia bata na kuku wakiwa na stres hawatagi wala kukua vizur. Wabadilishie mazingira.
Au wauze ununue wengine. Ikishindikana ni kisu tu
Au anataga lakini wanalila wewe ukija hukuti yai[emoji3] [emoji3] jogoo lipo na anatetea kwa kasi sana na kuingia bandan kutaka kutaga anakaa masaa anatoka bila yai
Pia jaribu kumpa chakula cha mayai ili watage mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] amna mkuu huwa akitoka naenda kuangalia ........sasa kama limeliwa si ningekuta magamba??
Mpige nao mwenyewe.Wakuu habarini za asubuhi Nina Kuku wangu tetea alitaga mzao Wa kwanza mayai 8 akakataa kuyatamia
Ilipofika muda Wa kutaga mzao wake Wa pili alianza kutetea kwa kasi sana na akitaka kutaga anaingia mahali pa kutagia anakaa hapo karibu nusu SAA anatoka nje bila kutaga yai hali hii imejirudia sana takribani wiki ya tatu sasa ......
Naomba ushauri wenu wakuu
NB; usiwe kuchinja[emoji3]