Kuku wanauzwa

Kuku wanauzwa

NNRWA

Senior Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
103
Reaction score
74
Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha
Karibuni sana🙏
 

Attachments

  • VID-20250329-WA0003.mp4
    4.8 MB
Fanya elfu10, pia hujasema ni kuku wa umri gani, wa mayai au nyama, chotara au? Ongezea vinyamanyama mkuu.
 
hapo sawa, fanya bei sasa wateja waje make kuku wengi wanatoa kwa TZS 15,000/=
Mkuu kama upo serious njoo na 23,000/= saize ya juu na 20,000/= saize ya kati hizo ndizo bei zangu za mwisho siongezi wala kupunguza
 
Nauza kuku kuazia Tsh 20,000/=, chotara(Tanbro) wana miezi mitano uzito kuanzia kg3 hadi 5 napatikana Tengeru Arusha
Karibuni sana🙏
Comrade, tuwekee pia na picha za hao kuku na mawasiliano yako. Si unajua tena Eid inakaribia.
 
Back
Top Bottom