maji tu
Member
- Jan 14, 2018
- 7
- 21
Nilianza safari ya ufugaji mwaka Jana mwenzi wa sita kwakununua vifaranga mia kila kifaranga nilinunua elfu mbili na miasita niliweza kupambana navo katika vifaranga mia vilikufa vifaranga vitano tu saiv nimefikia kuokota trei mbili kwa siku naziuza nakupata elfu kumi na nne kwa siku kwakweli hapo nimevipaka vyuma grisi vimelainika Maisha yanaenda tu nimekubali ufugaji unalipa