Hello wana jamii,shughuli zinaendaje?jamaninauza kuku wa nyama wa kisasa maarufu kama broilers,kwa bei nafuu kabisa kama ifuatavyo;
kuku akiwa mzima hajachinjwa ni shilingi 5,000/=,
kuku akiwa amechinjwa nakutolewa uchafu na kusafishwa ni shilingi 8,000/=tu (hapa ukichukua wengi bei inaweza kupungua)
Asante lakini wengine tunapunguza kula hizo broilers bora wa kienyeji wa kujifugia mwenyewe. Maana siku hizi tunatishwa kuwa mara zinapewa ERV, mara vidonge vya majira ili mradi ndani ya wiki mbili wawe wamekuwa kufikia kuuzwa.