Kuku Wa Layers Wanakulana Hadi Kuuana

Kuku Wa Layers Wanakulana Hadi Kuuana

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,190
Reaction score
889
Habari, Nina Kuku Wangu Ambao Wameanza Kutaga Hivi Karibu, Leo Asubuhi Nimekuta Wamemuua Mwenzao Na Kumdonoa Mkiani, Nimewapa Multivitamin Hivi Karibuni Na Kuwakata Midomo, Sijui Tatizo Ni Nini Wandugu
 
Chukua mmja mpelekee docto wa mifugo ampime watakua wanakosa madi flan atakupa majib
 
Kaka Hapo Watapimaje? Kumpasua Sipendelei Maana Ndio Wameanza Kutaga Na Huyohyuo Dr Alinishauri Niwape Multivitamin
 
Habari, Nina Kuku Wangu Ambao Wameanza Kutaga Hivi Karibu, Leo Asubuhi Nimekuta Wamemuua Mwenzao Na Kumdonoa Mkiani, Nimewapa Multivitamin Hivi Karibuni Na Kuwakata Midomo, Sijui Tatizo Ni Nini Wandugu
Ning'iniza Mbao ndogo ndogo ndani ya banda wazichezee ili kuwafanya wawe busy,hawatakumbuka kudonoana tena
 
Walishe chokaa kwenye mchanganyikk wa chakula chao haraka hayo madin yanapo pungua madhala yake ni kama hayo kisha wahi kwa wataalamu wa mifugo waliokaribu
 
Ni Chokaa Ipi, Hii Ya Kujengea Au Kuna Specific Chokaa
 
Halafu njoo kwenye makundi ya whatsup,wafugaji wapo wa kukupa Ushauri
 
Ho kuku wana upungufu wa hali ya juu wa madini ya Calcium.. Mwite dokta haraka au nenda duka la madawa ya mifugo.. Hili ndio tatizo la kufuga kitaalam huku wataalam mmewaweka kando.
 
Habari, Nina Kuku Wangu Ambao Wameanza Kutaga Hivi Karibu, Leo Asubuhi Nimekuta Wamemuua Mwenzao Na Kumdonoa Mkiani, Nimewapa Multivitamin Hivi Karibuni Na Kuwakata Midomo, Sijui Tatizo Ni Nini Wandugu
wape DCP kwa wingi
1473049515191.jpg
0655165592/0759165592 for more info.
 
Ning'iniza na majani juu kiasi ya futi mbili kutoka chini wawe wanayala kwa kuyarukia, walao watakuwa bize huku unatengeneza rangi ya njano katika yai
 
Back
Top Bottom