Mhdiwani JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 650 Reaction score 712 Aug 13, 2015 #1 Habari zenu wapendwa, Mimi ni mjasiriamal mdogo wa kuuza kuku wa kienyeji mara nyingi nasafirisha kwenda Arusha kutoka Tanga. Kwahio kama kuna mtu anahitaji anipe oda
Habari zenu wapendwa, Mimi ni mjasiriamal mdogo wa kuuza kuku wa kienyeji mara nyingi nasafirisha kwenda Arusha kutoka Tanga. Kwahio kama kuna mtu anahitaji anipe oda
K Kwetu2014 Member Joined Sep 4, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Aug 13, 2015 #2 1. weka mawasiliano 2. taja bei ya kuku kwa apo ulipo, dar, tanga, arusha, dodoma n.k 3. wana uzito gani 4. unauza na manyoya au ushatengeza 5. majogoo au Ni mtazamo tu.
1. weka mawasiliano 2. taja bei ya kuku kwa apo ulipo, dar, tanga, arusha, dodoma n.k 3. wana uzito gani 4. unauza na manyoya au ushatengeza 5. majogoo au Ni mtazamo tu.
Kurutamjanja JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 396 Reaction score 377 Aug 13, 2015 #3 Taja na Rangi zao. Hao Majogoo ni Jina Au Majogoo kazi? Yanawika? Taja na Rangi zao na huwa wanapendelea kula nn? Sio wavivu kutaga lakini?
Taja na Rangi zao. Hao Majogoo ni Jina Au Majogoo kazi? Yanawika? Taja na Rangi zao na huwa wanapendelea kula nn? Sio wavivu kutaga lakini?
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,045 Reaction score 10,496 Aug 13, 2015 #4 Hahahaha,aisee kazi kweli Kuruta mjuaji huyu akifanya yake
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Aug 13, 2015 #5 Mhdiwani said: Habari zenu wapendwa, Mimi ni mjasiriamal mdogo wa kuuza kuku wa kienyeji mara nyingi nasafirisha kwenda Arusha kutoka Tanga. Kwahio kama kuna mtu anahitaji anipe oda Click to expand... Uwezi toa order bila kujua bei mkuu, ebu weka bei halafu order zitatiririka, hapa Dar upo wapi (yaani wanakofikia hao kuku husika)?
Mhdiwani said: Habari zenu wapendwa, Mimi ni mjasiriamal mdogo wa kuuza kuku wa kienyeji mara nyingi nasafirisha kwenda Arusha kutoka Tanga. Kwahio kama kuna mtu anahitaji anipe oda Click to expand... Uwezi toa order bila kujua bei mkuu, ebu weka bei halafu order zitatiririka, hapa Dar upo wapi (yaani wanakofikia hao kuku husika)?
Mhdiwani JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 650 Reaction score 712 Aug 15, 2015 Thread starter #6 kuku niwarangi tofauti na majogoo wanawika na kuku ni wakienyeji kabisa sio chotara
K kakaamiye Senior Member Joined Aug 5, 2009 Posts 179 Reaction score 90 Aug 15, 2015 #7 mhdiwani said: kuku niwarangi tofauti na majogoo wanawika na kuku ni wakienyeji kabisa sio chotara Click to expand... taja bei zake!!!!!!!!!!!!!!!1
mhdiwani said: kuku niwarangi tofauti na majogoo wanawika na kuku ni wakienyeji kabisa sio chotara Click to expand... taja bei zake!!!!!!!!!!!!!!!1
Mhdiwani JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 650 Reaction score 712 Aug 15, 2015 Thread starter #8 mitetea ni 12000 na majogoo ni kuanzia 15000 na kuendelea inategemea na ukubwa wa kuku