Kuku wa kienyeji wanauzwa Morogoro.

Kuku wa kienyeji wanauzwa Morogoro.

Mbona bei juu sana kaka na je? Wanafaa kufuga au wamezeeka?
wanafaa. Ninaaowatoa kwa awamu hii ni Kama 20 tu. Kuku wangu ni wakubwa. Ukishafuga badaye utagundua kuwa bei yangu ilikuwa cheap.
 
uko wapi mkuu manispaa ya moro ni kubwa hata mm nipo manispaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom