Kuku wa kienyeji na miongozo yake tafadhali

raisi2020

Member
Mar 4, 2016
82
83
naomba kuuliza taratibu za chanjo kwa kuku wa kienyeji,nafahamu kuna newcastle gumboro na antibiotics zingine ammprollium,otc 20,vitalyte,esb lakini mpangilio wa hizi chanjo mbili siuelewi nawapa kwa interval ipi na hizi antibiotics nawapa kwa wakati gani? na kwa kuna kuwapa kuku kinga moja inaitwa marek's je kwa kuku wa kienyeji ni lazima kuwapa? na kama si lazima niwape nini kwa wakati ule wa siku ya 1-6,msaada plz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom