Kuku miezi 3.5 wanauzwa

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
Kama unahitaji kuku wa miezi 3.5 (kienyeji) wanapatikana kwa bei ya Tshs. 8,000/= kila mmoja. Kwa sasa wamebakia 125. Aliye serious tafadhali PM ili tupeane namba za simu na utaratibu wa kuwapata.
Napatikana jijini Mwanza - Igoma.
 
Weka picha acha maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…