A Albimany JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 281 Reaction score 114 Jan 24, 2015 #1 Nina majogoo kama 20 nayauza bei ni Kati ya 13,000- 15,000 kulingana na kuku mwenyewe. Kuku wapo Dar, nawauza ili kiwapunguza kwasababu majogoo yekua mengi katika Zizi langu . Ni wakienyeji safi sio chotara,wana afya nzuri . Pia naweza kubadilisha kwa mitetea walio waziri au kurudishiana kiwango cha pesa kulingana na thamani ya kuku. Kuku wana wastani wa miezi mitano, sita. Pia kama unao mitetea mizuri naweza kununua kwa bei tutakayokubaliana. Mitetea lazima iwe Dar au mikoa ya karibu. 068 686 1538
Nina majogoo kama 20 nayauza bei ni Kati ya 13,000- 15,000 kulingana na kuku mwenyewe. Kuku wapo Dar, nawauza ili kiwapunguza kwasababu majogoo yekua mengi katika Zizi langu . Ni wakienyeji safi sio chotara,wana afya nzuri . Pia naweza kubadilisha kwa mitetea walio waziri au kurudishiana kiwango cha pesa kulingana na thamani ya kuku. Kuku wana wastani wa miezi mitano, sita. Pia kama unao mitetea mizuri naweza kununua kwa bei tutakayokubaliana. Mitetea lazima iwe Dar au mikoa ya karibu. 068 686 1538
A Albimany JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 281 Reaction score 114 Jan 25, 2015 Thread starter #2 Picha hii ni mwezi mmoja nyuma kwasasa wamekua kidogo zaidi ya hapo. Picha ni mchanganyiko wa kuku lakini mitetea haiuzwi. Kama unahitaji kuuliza ni PM nitakujibu swali lako au uliza tu hapo chini ili wadau wengine wafaidike .
Picha hii ni mwezi mmoja nyuma kwasasa wamekua kidogo zaidi ya hapo. Picha ni mchanganyiko wa kuku lakini mitetea haiuzwi. Kama unahitaji kuuliza ni PM nitakujibu swali lako au uliza tu hapo chini ili wadau wengine wafaidike .