Habari ya kazi ndugu zangu, kama kichwa kinavyojieleza nauza kuku aina ya chotara ni wakubwa kama ambavyo wanavyoonekana kwenye picha. Bei ni 18000 ukichukua wengi inapungua, tupo kinyerezi, dsm. 0713032969 kwa aliye serious na biashara tuwasiliane.
Kwa hiyo mtu unaweza kufuga chotara wanataga unatotolesha kwwnye mashine au pia wao wanaatamia na unazalisha chotara wengine? Au ndo mayai yao sio fertile??