Kuku gani nifuge kibiashara?

Na je, kwa anayefaham....ningeomba kujua kibiashara ni yupi kati ya hawa (kienyeji, broiler/nyama, mayai, au chotara) ni bora zaidi kuliko wengine kwa kuzingatia vigezo vyote muhimu kama gharama za ufugaji n.k.....??!!!
Nmefuga chotara , kienyeji, broiler ila na fikiri wa mayai watakuwa bora zaid kama unamtaji mzur maana soko la mayai sio gumu
 
Kama unataka kufuga wa kienyeji nakushauri hivi nunua hata 100 wakiwa wamekua kua wapige posho then watoe .Kwa huku nilipo nilikuwa naletewa wasize yakati kwa buku 4 mi nawapa posho na dawa miezi 4 nawasukuma sokoni kwa 10 hakuna kuchagua we beba tu Kama una 10 lako.Hii kazi ilinishinda kutokana na ulevi na madeni.Ila si haba.
Kama hutojali ..upo wapi mkuu bado hao kuku wanapatikana kama mtu anahitaji kununua?
 
Nipo Kahama kuku walikua wanatoka Tabora Kijiji kimoja kinaitwa Kashishi wanaweza kupatikana tu .
 
Asante kwa majibu. Mimi nipo Dodoma natafuta wa kufuga (miezi 3 - 4) natafuta connection ya vijijini nakoweza pata kwa bei nafuu.
 
Nimesoma Mjadala kwa kina, Nimeona wengi wanafuga au wanatamani kufuga.
Mnaonaje wachache mkawaza na nje ya box kidogo.
Badala ya kuanza kufuga kifaranga kuanzia day 1 mpaka kuanza kutaga, Kuepukana na gharama na risk hizo waweza Kua Mnunuzi wa hizo bidhaa za Ufugaji wa Kuku, mfano Mayai na Nyama, then wewe ndio unakua main supplier, that sounds Good right?
Kuna uzi niliandika kuhusu biashara ya mayai na Nyama za Kuku, ila kuna watu walinibeza saaana. Hawajui Final Products za ufugaji wa kuku ni Mayai na nyama.
I hope hapa ukiwa na strategy utakula mema ya nchi zaidi. Haha very funny.
 
Pesa ya haraka fuga hao wa nyama
IMG_20210517_182452_5.jpg
IMG_20210509_121855_3.jpg
 
Bwana sikia ndugu yangu usitake mbwembwe usitake pesa za haraka,Ndio kila mtu anahitaji pesa ila ki ufupi mpaka sasa sijaona ufugaji ambao una pesa tena pesa kweli kweli kama ufugaji wa kuku wa kienyeji.

Kuku wa mayai kila mtu anafuga,mnakutana kwa Mangi kila mtu na mitrei yake kibao hamjui wakumuuzia,Kuku wa nyama kila mtu anafuga imefika hatua kuku mzima anauzwa 4000 (hiii ni nini eti) tusifate mkumbo kwenye ufugaji SOKO litakua gumu na hivi makuku yenyewe ya kisasa,mayai yenyewe ya kisasa (stress tupu).

Hela ya kweli wajuba wanakwambia REAL MONEY imejificha kwenye mabawa ya kuku wa kienyeji,kuku wa kienyeji ni pesa Ni gold inayotembea,Ujue namna ya kumfuga/kumlea hadi kupata product tamu.

Haya ni mawazo yangu na ushauri wangu,kama kweli unataka pesa isiyo na stress kwa kiasi kikubwa basi ufugaji pekee wa ki don wa ki pofa ni wa kuku wa kienyeji.

Tafuta mfanyabiashara/Mfugaji wakuku wa kienyeji alie karibu yako akumegee siri usizojua,usiende omba ushauri wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mfuga broiler au kuku wa mayai.
 
Acha kumwingiza mwenzio Chaka tofauti na hapo tuletelee mchanganuo ya gharama na faida zake Sio maneno matupu
 
Bwana sikia ndugu yangu usitake mbwembwe usitake pesa za haraka,Ndio kila mtu anahitaji pesa ila ki ufupi mpaka sasa sijaona ufugaji ambao una pesa tena pesa kweli kweli kama ufugaji wa kuku wa kienyeji.

Kuku wa mayai kila mtu anafuga,mnakutana kwa Mangi kila mtu na mitrei yake kibao hamjui wakumuuzia,Kuku wa nyama kila mtu anafuga imefika hatua kuku mzima anauzwa 4000 (hiii ni nini eti) tusifate mkumbo kwenye ufugaji SOKO litakua gumu na hivi makuku yenyewe ya kisasa,mayai yenyewe ya kisasa (stress tupu).

Hela ya kweli wajuba wanakwambia REAL MONEY imejificha kwenye mabawa ya kuku wa kienyeji,kuku wa kienyeji ni pesa Ni gold inayotembea,Ujue namna ya kumfuga/kumlea hadi kupata product tamu.

Haya ni mawazo yangu na ushauri wangu,kama kweli unataka pesa isiyo na stress kwa kiasi kikubwa basi ufugaji pekee wa ki don wa ki pofa ni wa kuku wa kienyeji.

Tafuta mfanyabiashara/Mfugaji wakuku wa kienyeji alie karibu yako akumegee siri usizojua,usiende omba ushauri wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mfuga broiler au kuku wa mayai.
Hlo chaka nani kakwambia mayai hayana soko wewe itakuwa mfugaji wa kwenye daftari hauna uhalisia.Kuku wa mayai pesa nje nje mimi mwenyewe nafuga na hata kuku wa kienyeji nimewahi kufuga ila Pesa ipo kwa kuku wa mayai.Kuna viwanda,Mashuleni na sehemu kibao yaani soko hata halina stress.Gharama ni kuwatunza tu mpaka kutaga ndo issue ila soko lipo.
 
Nimesoma Mjadala kwa kina, Nimeona wengi wanafuga au wanatamani kufuga.
Mnaonaje wachache mkawaza na nje ya box kidogo.
Badala ya kuanza kufuga kifaranga kuanzia day 1 mpaka kuanza kutaga, Kuepukana na gharama na risk hizo waweza Kua Mnunuzi wa hizo bidhaa za Ufugaji wa Kuku, mfano Mayai na Nyama, then wewe ndio unakua main supplier, that sounds Good right?
Kuna uzi niliandika kuhusu biashara ya mayai na Nyama za Kuku, ila kuna watu walinibeza saaana. Hawajui Final Products za ufugaji wa kuku ni Mayai na nyama.
I hope hapa ukiwa na strategy utakula mema ya nchi zaidi. Haha very funny.
Hii pia ni idea nzuri sana kuepuka risk unakuwa unanunua unauza sounds good.Ila mleta uzi alikuwa anataka afuge mwenyewe.
 
Asante kwa ushauri ndugu,.... Je kuku chotara vp?!
Inategemea na sehemu uliopo ndugu yangu kama unaweza kufuga kuku basi chukua kuku wa kienyeji kwa sababu wanavumilia sana magonjwa kuliko wa chotara wala wa mayai mimi nimefuga na ninajua vizuri!!
 
Habari ya wakati huu wana Jf....!??...

Niende moja kwa moja katika mada hii husika na kichwa habari hapo juu...

Nipo katika mpango wa kufuga kuku kibiashara, hivyo naomba ushauri juu ya ni aina gani ya Kuku (chotara, kisasa au kienyeji)... Mana nimewaza wa kisasa lakini wale kuku nduguuu..... Duuh yaaan wamezubaaa kamaa....!??! Japo kibiashara wamoo...

... Anyways naomba ushaur seriously.... Nataman sasa kupata uzoefu kwa wazoefu ktk sekta hii.....nipo Moshi- Kilimanjaro.....

Nawasilisha....
Fuga wa kienyeji, kama una mtaji tafuta mtu akusaidie kwa upande wa elimu ili tija iongezeke.
 
Back
Top Bottom