Je wewe ni mjasiriamali na ungependa kufuga kwa faida fuga kuku chotara mayai yao utayauza ghaali pia wana nyama nyingi sana
Jina la kampuni....
Mko mkoa gani....
Huduma zp na zp mnazitoa.....
Pichaa...........
Bei...................
Mnapatikanaje......
je watu wa mbali wanawezaje kupata huduma zenu......
Mkuu POUTRY FARM naona ulikua unajifurahisha au sio!Je wewe ni mjasiriamali na ungependa kufuga kwa faida fuga kuku chotara mayai yao utayauza ghaali pia wana nyama nyingi sana natotolesha vifaranga nakuuza karibu