Kuku choma - Singida

Lazima nichukue bodaboda nifike kariakoo nikichukua bajaji sifiki au njia ni ndogo maana kila anayesema kwenda kariakoo chukuwa bodaboda
 
Lazima nichukue bodaboda nifike kariakoo nikichukua bajaji sifiki au njia ni ndogo maana kila anayesema kwenda kariakoo chukuwa bodaboda
hahahah hata bajaji panafikika hapo😀
 
Kariakooo singida iko wapi mim napajua Ubungo karibu na Usagara Rodge
hiyo kariakoo hawachomi kuku mchana....wanaanza mida ya saa moja moja Usiku na kuendelea.Ukienda mchana huwezi ona kitu.Wewe ikifika saa moja usiku chukua pikpik kwa usafir wa haraka mwambie boda akupeleke hiyo sehemu.
Nb: Hiyo kariakoo mchana hakuna shuguli yoyote.Mida ni kuanzia saa moja moja usiku kuna wachaga wamekamatia fursa hapo...unapata kuku choma + ugali ...Achana na hiyo sehem wanaita Ubungo
 
Fika rwenzaura bar mkuu pale Edwin fast food

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu hizo places unazotaja za bar na fast food hakuna tofauti akienda bar yoyote au fast food kwamba atakosa kuku choma. Hiyo kariakoo ni sehemu kwa ajili ya kuku choma na mishe mishe zinaanzia kwenye saa moja usiku ndo mida mizuri hapo.
 
Kwa sie matomaso bila picha naona kama thread chenga hivi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…