Kuku choma - Singida

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
668
Habari?

Je ni sehemu gani Singida mjini nitapata kuku choma safi kwa bei nzuri?

Natanguliza shukrani.

decomm!
 
mkuu chukua boda boda waambie wakupeleke sehemu moja inaitwa Kariakoo ...hiyo ni kariakoo ya kuku chomaa hatari..nilikula kuku hapo mzima wa elfu 7 choma safi tena fresh unaona hata wanavochinjwa na kutengenezwa..hiyo kariakok ni maarufu sana hapo singidani kwa kuchoma kuku...usisahau kuleta mrejesho
 
Shukrani mkuu
mkuu chukua boda boda waambie wakupeleke sehemu moja inaitwa Kariakoo ...hiyo ni kariakoo ya kuku chomaa hatari..nilikula kuku hapo mzima wa elfu 7 choma safi...hiyo kariakok ni maarufu sana hapo singidani kwa kuchoma kuku...usisahau kuleta mrejesho

decomm!
 
Fafanua kidogo

decomm!
Ubungo hapo kuku choma wapo mkuu ila mazingra ya kuku hao sio powa unaweza kula vibudu kutoka hapo kwenda rwenzaula sio mbali kati ya sehem hizi chagua moja na tafuta boda fasta kilima bar,mbacho au iyo rwenzaura usisahau mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa ufafanuzi muhimu.
decomm!
 
Sijafika bado, ila ninapotokea sijala vizuri, njaa yote namalizia Singida

decomm!
 
Sio kariakoo ni ubungo wachafu hao

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana nilienda pale pako vizur sana kuna majiko tofauti tofaut..wapo wachaga flani nilikula kuku safi kabisa..na niliona pako vizur hadi nikala..singinda kuna hiyo sehemu wanaita kariakoo..ni special kwa kuku choma.Alafu hadi nikala nili ridhika na mazingira.
Sijui ubungo unayoisema wew!
 
Kwa kuwa nitafika mapema, nitatembelea kuona mazingira ya uandaaji, nahisi nitapumzika kwa saa kadhaa Singida.

decomm!
 
Sijafika bado, ila ninapotokea sijala vizuri, njaa yote namalizia Singida

decomm!
mkuu fanya kama unatembea kwa boda boda uzunguke hayo maeneo wadau tulio taja sehem utakayoridhika pata kuku..lakini hapo kariakoo kuku anachinjwa ninaona kabisa na kuna watu pale na magari yao wengine wastaarabu wanapata kuku choma safi.
 
Ubungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakooo singida iko wapi mim napajua Ubungo karibu na Usagara Rodge
 
Hapana labda kuna sehemu nyingine inaitwa ubungo...lakini hapo nilipokula mimi panaitwa karikoo na panachangamka kuanzia saa moja moja usiku na kuendelea...
Aliyenielekeza hiyo sehemu ni jamaa yangu yupo hapo singida kitambo sana.Maana niliuliza swali kama jamaa alilouliza" wapi nitapata kuku choma singida" akaniambia chukua boda mwambie akupelekee kariakoo
 
Hili ndio jibu sahihi hatajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…