Kuku Broiler wanauzwa

makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
39
Ninauza kuku Broiler, uzito kg 1.4, bei 5,500
Wapo 500, wanapatikana Dar es salam, Boko magengeni
Simu 0656646495
Karibuni
IMG-20170110-WA0021.jpeg
IMG-20170110-WA0020.jpeg
 
Huwa nikiona wateja hawaji, nachinja mmoja nanyonyoa then natembeza sample mahotelini na supermarkets kama ni wazuri lazima unapata order. Ila kama wamesumbua kukua sasa hapo ni mtihani. Wana uzito gani kwani?

Kuna wamiliki wa hotel wengine watakwambia tuna supplier wetu lakini wakiona kuku wako yuko vizuri wanakupa order na wewe. Komaa tu mkuu, Mungu atafanya njia!
 
Samahani, nimeshaona uzito wao sikupaona mwanzo ndio nikauulizia katika post yangu ya juu
 
Huwa nikiona wateja hawaji, nachinja mmoja nanyonyoa then natembeza sample mahotelini na supermarkets kama ni wazuri lazima unapata order. Ila kama wamesumbua kukua sasa hapo ni mtihani. Wana uzito gani kwani?

Kuna wamiliki wa hotel wengine watakwambia tuna supplier wetu lakini wakiona kuku wako yuko vizuri wanakupa order na wewe. Komaa tu mkuu, Mungu atafanya njia!
Kg 1.4

Ahsante kwa ushauri pia
 
Nkadhani wachinja unakula uwaonje kama ni watamu..doohh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom