Kuku aina ya Sasso

Ethan M

New Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
4
Reaction score
1
Habari za muda?

Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso vya miezi miwili au mmoja ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za mtu yeyote wa aliyepo Dodoma anayeuza anipatie, usisahau kunijulisha na Bei.

Nilipewa taarifa na mtu kuwa kuna dada yuko maeneo ya kwa waziri mkuu anauzaga lakini yule tu alonipa taarifa amesema alipoteza namba na hajui kwa huyo dada niw ap exactly, naileta kwa msaada tafadhali
 
Kuku wa Kienyeji unaweza kulisha kisasa na wakakuwa kwa haraka? Kwaajili ya nyama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…