Nimeweka mkuu. Napatikana kwa nambaHujaweka mawasiliano Mkuu
Sifa yao kubwa ni kwamba wanakuwa na nyama nyingi kwa muda mfupi tofauti na hawa wa kawaida na wana nyama tamu(kwa ufupi ni breed ya kienyeji ambayo ni maalumu kwa ajili ya nyama), lakini pia ni wavumilivu wa magonjwa. Nadhani nitakuwa nimekujibuhao saso wanatofati gani na hawa kuku wa kawaida
Majogoo yako mangap?Sifa yao kubwa ni kwamba wanakuwa na nyama nyingi kwa muda mfupi tofauti na hawa wa kawaida na wana nyama tamu(kwa ufupi ni breed ya kienyeji ambayo ni maalumu kwa ajili ya nyama), lakini pia ni wavumilivu wa magonjwa. Nadhani nitakuwa nimekujibu
Majogoo yapo 30 na matetea yapo 45. Matetea machache yameanza kutaga Ila bado ni mmoja mmoja. Ambao wana taga kwa mtiririko unao eleweka ni 14.Majogoo yako mangap?
Matetea yako mangap?
Je matetea yameshaanza kutaga? Mangap yanataga?
Nahitaji wawili wanaotaga, watage, waatamie na watotoe. Hao wanaweza kufanya hivyo? Na wanaotaga au wanokaribia unao?Sifa yao kubwa ni kwamba wanakuwa na nyama nyingi kwa muda mfupi tofauti na hawa wa kawaida na wana nyama tamu(kwa ufupi ni breed ya kienyeji ambayo ni maalumu kwa ajili ya nyama), lakini pia ni wavumilivu wa magonjwa. Nadhani nitakuwa nimekujibu
Sasso hawaatamii. Wao wanataga tu. Wanao taga na wanao karibia kuanza wapo. KaribuNahitaji wawili wanaotaga, watage, waatamie na watotoe. Hao wanaweza kufanya hivyo? Na wanaotaga au wanokaribia unao?
Nitakutafuta mkuu ngoja nimalizie banda langu mi niko kimara korogwe. Nitawachanganya nifuge pamoja na wa kienyeji pure.Sasso hawaatamii. Wao wanataga tu. Wanao taga na wanao karibia kuanza wapo. Karibu
Poa poa mkuu.Nitakutafuta mkuu ngoja nimalizie banda langu mi niko kimara korogwe. Nitawachanganya nifuge pamoja na wa kienyeji pure.
Huwa wanataga asubuhii. Mara nyingi kuanzia SAA moja moja hadi saa sita sitaWanatagaga usiku au mchana?
Wa kuonja ntapata ili niwe na uhakika kwamba ni watamu?Huwa wanataga asubuhii. Mara nyingi kuanzia SAA moja moja hadi saa sita sita
Kwa kweli wa kuonja hapatikani labda ubahatike siku utayo kuja ukute nimedondosha kwa ajili yangu.Wa kuonja ntapata ili niwe na uhakika kwamba ni watamu?
Mhh!!basi siku ukidondosha kwa ajili yako nishitue basi sawa?Kwa kweli wa kuonja hapatikani labda ubahatike siku utayo kuja ukute nimedondosha kwa ajili yangu.
Hakuna kuku wa namna hiyo na haitakuja kutokeaWanatagaga usiku au mchana?
Anatafutwa anae taga usiku maana ni deal,unae?Hakuna kuku wa namna hiyo na haitakuja kutokea
[emoji1] [emoji2] [emoji3]Anatafutwa anae taga usiku maana ni deal,unae?