Kuku aina ya kuchi

Kuku aina ya kuchi

Sample ya wa sh.25,000/=hiyo hapo
 

Attachments

  • 20200603_130157.jpg
    20200603_130157.jpg
    130.3 KB · Views: 21
Makumbusho pale kwenye yale mabanda kuchi jogoo kuanzia laki mbili.jamaa bei zake nzuri

Kuku laki mbili?
Hawahawa kuku ambao tukienda nyama choma tunauziwa kuku choma mzima kwa 15,000?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom