Kuku aina ya kuchi

Kuku aina ya kuchi

Abatmwe

Senior Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
110
Reaction score
79
Wadau nahitaji vifaranga vya kuku aina ya kuchi, mwenye navyo anaweza nicheki.

Kama itawezekana aweke sample na bei umu
 
Nipo Geita Masumbwe
Wapo wa rika zote mpaka mayai yao
Namba yangu ni 0712946988
 
1.Mayai @ 2500
2.Vifaranga months = 25,000
3.Tembe wanaokaribia kutaga@ 70,000
4.Tembe wakubwa waliotaga zaidi ya mara mbili@100,000.
5.Jogoo@120,000.
Tanbihi:-Siuzi jogoo wadogo na pia bei haipungui.
 
1.Mayai @ 2500
2.Vifaranga months = 25,000
3.Tembe wanaokaribia kutaga@ 70,000
4.Tembe wakubwa waliotaga zaidi ya mara mbili@100,000.
5.Jogoo@120,000.
Tanbihi:-Siuzi jogoo wadogo na pia bei haipungui.
Bei ya mbuzi,ajabu
 
Hawa kuku wana kitu gani cha tofauti?
Au wana kilo nyingi?
Ni wa kawaida kabisa tena wanaweza wakazidiwa uzito na kuku wengine.Upekee wao ni
1.Wana midomo mifupi sana na iliyojikunja kama kasuku.
2.Wana shingo ndefu kiasi kuliko wa kawaida.
3.Ni wapiganaji wazuri sana ukiwapambanisha na wa kawaida unaweza ukawa kuku wako wa kawaida.
4.Wana mikia iliyosambaa na kutazamamia chini.
5.Wana mgongo ulioinuka jambo linalowafanya wakitembea wawe kama wanaringa.
6.Wana midomo mipana na uwezo mkubwa wa kumeza vitu kuliko kuku wa kawaida.
7.Kwa kiasi kikubwa hawana manyoya mengi hususani maeneo ya kifuani na tumboni.
 
Naomba kuwafahamu kwa picha mkuu usikute unataka kutuuzia wale Tausi waliopewa wastaafu juz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom