CHANG'OMBE
Member
- Jul 22, 2012
- 19
- 6
mimi nina bata bukini tu
nauza laki mbili mmoja
kuna hadi mbuzi bikiniKuku Bukini,mmmmmhh! Ngoja wadau waje! Labda ni kizazi kipya!
tena ni vile nimefulia mimi nilimnunua mama yao 2008 elfu tisini mkuu,ni wazuri sio mchezo ,vile tu sina mtu wa kukaa nao vizuri wala nisingeuza mbona!Bata laki mbili Smile kwani amekuwa mbuzi katoliki
Hivi wale kuku wasio na mkia/Wasio na manyoya marefu ya mkiani huitwaje ?
Kwa wadau wote mliochangia mada yangu, kama mnavyoona hata mimi nimeonyesha mshangaowa kuwepo kwa kuku hao. kuku BUKINI na KUCHi wametajwa katika Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya mwaka 2011/2012 na sijawahi kuwa na mawasiliano na watu wa Wizara hiyo.
Pengine labda walimaanisha BATA BUKINI.
kuku bukini wapo na ni kuku wa kienyeji.ni mwenye umbo fupi na nene.ana upanga mrefu.hana mkia na ana Miguu mifupi isiyo na manyoya.hupatikana kwa wingi Mikoa ya tanga,pwani,Kilimanjaro,na singida.Habari wanajamvi
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimeona aina ya kuku ambayo sikupata kuisikia - BUKINI. Najua kuwa kuna BATA BUKINI kumbe sasa hata KUKU BUKINI wapo? Kwa wale wanaowafahamu kuku hao ningependa kujuzwa mambo yafuatayo:-
Je, wanasifa gani? Umbile lao, uzazi wao (utagaji mayai), na sifa zake zingine
Je, wanapatikana kwa wingi sehemu gani hapa TZ
Je, kwa Dar es Salaam, Pwani na hata Moro kuna watu wamewafuga? Wako maeneo gani?
Je, bei zao zikoje?
Je, kuna mwenye mawasiliano na wafugaji wa kuku hao?
MSAADA TAFADHALI!!!!
NAWASILISHA
Eti?mi sijakuelewa unamaana gani hapaMimi nimewahi kusikia CHANG'OMBE ila CHAKUKU sijawahi kusikia
Mimi nimewahi kusikia CHANG'OMBE ila CHAKUKU sijawahi kusikia