cha mideko
Senior Member
- Sep 16, 2017
- 103
- 76
Msaada jamn at kuku aina ya broilers na chotara wap wana soko sana naomben msaada kwa anaefahamu
Kivipi? Wewe kwa mtazamo wako iko vipi?Msaada jamn at kuku aina ya broilers na chotara wap wana soko sana naomben msaada kwa anaefahamu
Msaada jamn at kuku aina ya broilers na chotara wap wana soko sana naomben msaada kwa anaefahamu
hahahahaaaMkuu badilisha hiyo Avatar sababu watu wenye majibu mazuri yaweza kuwa hawataki kukujibu sababu ya Avatar yako
Msaada jamn at kuku aina ya broilers na chotara wap wana soko sana naomben msaada kwa anaefahamu
Kwa uzoefu wako hao broiler kwa dar soko lao likoje ?Kuku chotara wanauzika zaidi sababu wana ladha kuliko hao wengine kwa namna bei utakavyoiset. Kwa mfano bei ukaiset 10,000 kwa tetea na 15,000 kwa majogoo, tukija kwa Broiler hawa wana faida kubwa in profit per time kwa mikoani ambako bei yao ni 8,000.
Kwa uzoefu wako hao broiler kwa dar soko lao likoje ?
Unayosema ni kweli asee mi nna mwaka nafuga hawa broiler dar hapa... changamoto nyingi ushindani mwingi kuna muda soko linakua ovyo sana hasa kipindi hiki kila mtu ana kukuDar wana soko kubwa sana kuliko hata huku mikoani sema sababu ya competition kubwa kwenye uzalishaji bei zinakuwa chini na faida kuwa minimum
Unayosema ni kweli asee mi nna mwaka nafuga hawa broiler dar hapa... changamoto nyingi ushindani mwingi kuna muda soko linakua ovyo sana hasa kipindi hiki kila mtu ana kuku
Kweli kabisa.... hapa naanza kukuna kichwa niifikirie hii biashara kwa jicho jingine maana kutegemea masoko haya ni kuumia tu hapo bado madalali hawakulalia beiWatu hawaoni fursa hizo wakanunua hao kuku wakapeleka sehemu zenye uhitaji nje ya nchi huko Wabongo fursa wanaona ni kuiga biashara za watu zilizofanikiwa