Kwa waliowahi kupanda au hata kuona namna fastjet walivyokuwa wanatoa huduma zao watakubaliana na mimi ya kuwa hawa jamaa walileta mageuzi katika biashara hii.
Kukosekana kwao kumefanya mashirika Mengine yajiachie na kufanya huduma za ndege kuwa za ubora wa kawaida.
Ili ATCL iendelee ni lazima ipate washindani kama Fastjet Tz la si hivyo itaangamia.