Kukosekana kwa Fastjet TZ kumeshusha ushindani wa safari za Anga

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Habari wakuu,

Kwa waliowahi kupanda au hata kuona namna fastjet walivyokuwa wanatoa huduma zao watakubaliana na mimi ya kuwa hawa jamaa walileta mageuzi katika biashara hii.

Kukosekana kwao kumefanya mashirika Mengine yajiachie na kufanya huduma za ndege kuwa za ubora wa kawaida.

Ili ATCL iendelee ni lazima ipate washindani kama Fastjet Tz la si hivyo itaangamia.
Screenshot_20191220-193312_Gallery~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa Bei za tiketi zinatabirika (predictable) tofauti na enzi ATCL wakiwa hawana ndege zao
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom