Kukosekana akidi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Naandika hii kuhusiana na ubishi kati ya Chadema na Msajili

Iko hivi,
Kwa mfano akidi ni watu kumi. Wapo saba,watatu hawapo.
1 Wanasema,"Kama watatu hawapo,ni halali kwetu kundelea na mkutano."
Wanaendelea na mkutano
Hiyo ni kosa inaitwa fabricated aims. Kusema " nadhani tunaweza tu kundelea" ni kufanya mambo with fabricated aims
2. Wanasema "Kama watatu hawapo,ni halali kwetu kundelea na mkutano?"
Wanaendelea na mkutano.
Hiyo ni kosa.
Inaitwa kufanya mambo with unsure aims.
3.Watatu hawapo, wanasema,"Kama watatu hawapo,acha wabaki huko huko waliko,watengane na sisi,wawe mbali na sisi."
Wanaendelea na mkutano.
Hiyo ni kosa.
Wanafanya mambo with divisive aims.
Likewise it applies kama watano hawapo na watano wapo.
Likewise it applies kama watatu wapo na saba hawapo
 

Hayo ni maoni au ndio Sheria inasema hivyo?

Kosa linatokana na Sheria za vyama vya siasa, Katiba ya chama, au Maoni yako?
Ungeiweka sawa ili tukusome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…