Kukosea namba kwanipa msichana bikra

Kukosea namba kwanipa msichana bikra

umeshafika kwao? unajua ni mwanadamu au jini? amini usiamini kuna watu wengi tu unatembea nao kimapenzi physically lakini ni roho wamevaa tu miili. kama haujafika kwao, hauwajui ndugu etc, usijifariji, linaweza kuwa jini hilo limevaa mwili wa binadamu, na majini wanatumia sana simu. kuna siku utakuja hapa utatoa ushuhuda wa jinsi litakavyohabiri maisha yako na mahusiano yako mwngine na watu wengine.
Poa nitaacha
 
Inategemeana na mbwa mwenyewe maana mi mbwa mingine huwa imejazia kama mithili ya yule mla ***NGAU*** you know.... So inakuwa ngumu kulika mpaka jasho jingi limtoke chatu!!!!
Le mubebezi?
 
  • Thanks
Reactions: lup
Jf banaaa,,, kila mmoja anajimwaga tu,,, wavulana kwa wazee,,,, mradi rahaa,,,, na usawa huu,, aaahh,,, wacha watu wamwage ya moyoni,,,
 
Rafiki kitu ninachokuambia ni kweli.. Ana miaka 25 na Jana ndio nimemaliza mchezo wote..
Hongera, ila inaonesha unathamn sana bikra, ndo ushaitoa cjui utajisifia nn kesho.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Bikra zipo saana tu, sijui kwa nini wanaume mmekuwa wagumu kuamini hilo. Au ni sababu nyie ndo mwaziondoa kabla hata hazijakoma!!!
Wapo watoto wa kike wanaojitunza sana tuu
 
Bikra zipo, nilimuoa mke wangu akiwa na miaka 24, na alikuwa bikra. naishi naye hadi leo nimezaa naye watoto na sitamwacha.
 
Wanazilia na chumvi zikiwa bado hazijakomaa! Tutafika tu
Bikra zipo saana tu, sijui kwa nini wanaume mmekuwa wagumu kuamini hilo. Au ni sababu nyie ndo mwaziondoa kabla hata hazijakoma!!!
Wapo watoto wa kike wanaojitunza sana tuu
Sana l
 
Back
Top Bottom