Kukosea namba kwanipa msichana bikra

Mkuu unatakiwa ukaripoti kituo cha polisi chochote kilichopo karibu hili ni kosa la jinai miaka 30 jela[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikuwa[emoji11]siku zake acha ukudaaaa mnadanganywa kijingaaaa
 
Reactions: lup
umeshafika kwao? unajua ni mwanadamu au jini? amini usiamini kuna watu wengi tu unatembea nao kimapenzi physically lakini ni roho wamevaa tu miili. kama haujafika kwao, hauwajui ndugu etc, usijifariji, linaweza kuwa jini hilo limevaa mwili wa binadamu, na majini wanatumia sana simu. kuna siku utakuja hapa utatoa ushuhuda wa jinsi litakavyohabiri maisha yako na mahusiano yako mwngine na watu wengine.
 
Reactions: lup
Mkuu unatakiwa ukaripoti kituo cha polisi chochote kilichopo karibu hili ni kosa la jinai miaka 30 jela[emoji23][emoji23][emoji23]

Ni tukio la muda mrefu sana Mkuu la mwaka 2007 na nahisi hata yule Binti ' niliyembandua ' sasa atakuwa pengine ana ' Wajukuu '.
 
Mwanamke akikaa mwezi bila kufanya mapenz ukija kukutana nae utahisi bikra
 
Reactions: lup
Mwanamke mwenye bikra atoke moshi aende mwanza peke yake kutafuta kutolewa bikra never hata siku 1
Tena huyo mwanamke anaeonekana na maraya aliye kubuhi!
 
Hiki ndicho kilichobaki vichwani mwetu watz. Yaani
 
Reactions: lup
🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Kaa hivyo hivyo Mkuu yaani Wewe na umri wote huo hujui kuwa siku hizi kuna Bikira za kubumba hapa mjini? Kumbe Wanaume ' wakuja ' bado mpo wengi sana humu mijini.
boss yupo Mwanza huyu si wa daslam..mjini mwisho si msata au?
 
Reactions: lup
Vitu vingine baki navyo tuu haina haja ya kutuambia humu jf..
Au ndo mara yako ya kwnza kuchinja kuku bikra au cha ajabu ni kuwa demu mzuri kakosea namba eehh...
Let other thing be private with yourself.[emoji41]
 
Ni ngumu lkn inawezekana period
 
Reactions: lup
Kaa hivyo hivyo Mkuu yaani Wewe na umri wote huo hujui kuwa siku hizi kuna Bikira za kubumba hapa mjini? Kumbe Wanaume ' wakuja ' bado mpo wengi sana humu mijini.
Umeipimaje kama ya kweli au la?
 
Reactions: lup
Wapo wengi mkuu. Mi nshakutana na mmoja wa 25 mwaka jana. Nilikutana na wa 21 mwaka 2015. Ila wananikeraga balaa. Sipendagi kutoa mtu bikra ni usumbufu sana na kuumizana tu. Wanawake mnakuwa wapiuda wote huo?? Kama mnadhani wanaume wote wanapenda bikra mmekosea sana.
 
Ushawatoa wawili af unasema hupendagi?? Teh
 
Reactions: lup
Wapo jamani tusikatae, wapowaliofundishwa maadili na kuyashika. Bababati Manyara nilibahatika kumpata mchumba wa milimani moshi Ila MUNGU akampenda tena alikua na miaka hyhy. Pia kwa ss nimeoa msavywa naye pia Ila yy 18.usimchezee oa hiyo ni damu y maagano aliyo iweka MUNGU. Kumbe utakua na atia usipofanya hivyo
 
Reactions: lup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…